Man United na Arsenal Jpili unasemaje?
Hakuna timu hapo.Man United na Arsenal Jpili unasemaje?
Naanzaje kuita mchumba "mbwa" unanipa mtihani kweli☹️Leicester wanawapiga nje ndani.
Mkiwafunga niite mbwa,nimekaa pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naanzaje kuita mchumba "mbwa" unanipa mtihani kweli[emoji3525]
Hii comment nimeichukua kama ilivyoLeicester wanawapiga nje ndani.
Mkiwafunga niite mbwa,nimekaa pale[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unamjua Antony Santos?😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona isivyowezekana?
Ndivyo hivyohivyo msivyoweza kuwafunga Leicester.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ibebe mgongoni kabisaHii comment nimeichukua kama ilivyo
Utamkataa mapema sanaUnamjua Antony Santos?[emoji28]
Safiiii jirani..hujambo
Basi tenaAhaaaa mi sio mnyama bana[emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23]mtakarifu pua yakoHuyu anashabikia wenye nchi..siyo wale pakapori wenye mdhunguu wa mchongo[emoji23]
Kwamba mmerudiana?Sisi wananchi mchumba![emoji16]
Hii safi sana, kwa sie tunaofanya kazi kwa kutumia cloud machine itatusaidia sana.launch of Vodacom 5G technology in Dar es Salaam today
![]()
![]()
Mlete mdhunguu weee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtakarifu pua yako
Tuache na mdhungu wetu