Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Asante ☺️☺️Nimeuona uzuri wako
Asante ☺️☺️
Ahaa uko poa lkn?Sijamuona
Ndiko nilikoitoa 🤣🤣🤣🤣Kule siasani kuna mtu amemtukana hivyo Mkuu wa mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Wamemtukana baba wa watu..Ndiko nilikoitoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani saivi sisi Chelsea tunapelekewa Moto Ni balaa ..tuneshakuwa matakataka hatuna maana Tena 😭😭😭Nilikuwa na stress zangu ila baada ya kuingia Uzi wa Chelshit stress zote zimeisha.
Yaani nimecheka...wanasema Kwa uzwazwa wa Tuchel,hata wakicheza na Tukuyu Fc wanafungwa🤣🤣🤣
Tuchel anafaa liverkuku siyo Chelsea ..huyu Ni avereji kocha anafaa timu Kama liverkuku ivi..Wamemtukana baba wa watu..
Ule uzi nilikuwa nausoma usiku nilitaka kuzimia Kwa kicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
ila si unajua jioni huwa napenda nini😊😊😊
Ni matakataka ya kuchomwa tu😂😂😂Yani saivi sisi Chelsea tunapelekewa Moto Ni balaa ..tuneshakuwa matakataka hatuna maana Tena 😭😭😭
Usitupachikie watubwa hovyohovyo kwenye timu kubwa liverTuchel anafaa liverkuku siyo Chelsea ..huyu Ni avereji kocha anafaa timu Kama liverkuku ivi..
Watu wamepinda jaman🤣🤣🤣Kule siasani kuna mtu amemtukana hivyo Mkuu wa mkoa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Eti Mashavu yake kama anatafuta mchele mbichi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watu wamepinda jaman[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo wizoooo❣️Nilikuwa sijui
Nikashangaa tu sikuoni jamani wizoo 😍
Selfika wizo jamani 🥰Nipo wizoooo❣️
Base basi nifike home😅