Wee huyo boda boda ajiandae hapo, hilo halijaisha vzuri asije kurelaxπMkaka alienda akashindwa π
Akanipigia mimi, eti yule jamaa anaweza kukusikiliza .. huo muda mie nimemute kwangu nasikilizia
Nikaenda mtu na sauti yangu, yenye unyenyekevu ikiamuaga Lenie
Akapoa kidogo yule jamaa
Ila hasira mingi, akapanick tena.. mtu namlisha namlipia kodi anaenda toβ¦m na boda boda.. akawaka upya π
Mengine siwezi andika.. sio mazuri hataβ¦
Ila nimeogopa sana π
Sitaki mchezo na wanaume
Khaaa
Hao watu wana panick mbaya sanaaa
Uzuri, nilifanikiwa mtuliza
The rest hayanihusu
Na jana imekuwa ya kwanza na mwisho.. isije siku nyingine kikarushwa kitu kikaniumiza kimasihara ππ
ππ na huyo mtu ni weweUpo single afu shabiki wa cheltako bora ufe tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila shetani nae anapenda kupitia watu sijui kwanini. Kwani hawezi kujipitia zake tu kimya kimya akaenda safari zake mwenyewe hadi apitie wengine jamanShetani alimpitia mtu ππ Shetani kampitia mtu, shetani huyo huyo akamsahaulisha mtu ushahidiβ¦ mtu zikawa 40 za mwizi zimefika πππ
Sahivi watu washakula mshahara wanakaribia kuumaliza ππ hamna hata cha kunikeep sana busy,,
Nitakuwa naenda kunawa uso
Mimi nimekaa mguu sawa nasubiri tu Selfie ya AuntieYanii hapa nishaosha Nywele vizuri nishanyoosha nishapaka mafuta chini ya unywele hadi unywele tayari kwa kusuka nasubiria tu msuko ! sophy27
ππππ boda anaweza bamizwa,, madogo wa chuga jau sanaaaWee huyo boda boda ajiandae hapo, hilo halijaisha vzuri asije kurelaxπ
Hongera shogare kwa kutuliza, me hyo sauti yako sina mashaka nayo kabisa, hata mtu awe mgumu vipi akiiskia ni kama anapata uponyaji basi hasira lazima zipoeππ
Eeh ugomvi wa kushikiana silaha au hata wa ngumi haifai kuingilia kizembe, maana unaweza jikuta na wewe msamaria mwema unachanganywa humo humo unabaki kuuguza majeraha
SureJamaa alikuwa sahihi kukuita. Unajua kwenye situation kama hiyo unaangalia mtu ambaye wanasikilizana huyo akienda ana probability kubwa ya kusikilizwa.
π€£π€£π€£ Eti umeogopa.
Kweli unaweza kwenda kwa lengo Zuri tu la kuamua ila unashangaa unaumizwa.
Kweli ww ni mnoma, yaani ulimtuliza mwamba akakaa kwa kutulia
Shetani mtu mbad πIla shetani nae anapenda kupitia watu sijui kwanini. Kwani hawezi kujipitia zake tu kimya kimya akaenda safari zake mwenyewe hadi apitie wengine jaman
Au anapenda kampani za watu ndio maana anawapitia waende wote
Nitakua nakutumia visticker uwe unacheka kupunguza usingz
Naona unataka kutekwa kihisia asubuhi asubuhiπ€£π€£π€£π€£Shetani mtu mbad π
Nitasikiliza ile VN πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Shangazi mic u. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Good morning
Nimekumbuka wewe ni mwana Arsenal kindakindakiMkuu, hapa nimempa support Depal, sishabikii vitu vya hovyo hovyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo tuliiiii nasubir kuangalia A na B+ kwenye aris angu.Utajua hujui[emoji16]
Hata sijangalia mie uwiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatareeeeeehWee acha tyu shos akee![emoji8]
ππππππMkuu, hapa nimempa support Depal, sishabikii vitu vya hovyo hovyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Boda boda sijui wana nn hata, yaan ni Malaya mnooo. KhaaaahMkaka alienda akashindwa [emoji119]
Akanipigia mimi, eti yule jamaa anaweza kukusikiliza .. huo muda mie nimemute kwangu nasikilizia
Nikaenda mtu na sauti yangu, yenye unyenyekevu ikiamuaga Lenie
Akapoa kidogo yule jamaa
Ila hasira mingi, akapanick tena.. mtu namlisha namlipia kodi anaenda toβ¦m na boda boda.. akawaka upya [emoji119]
Mengine siwezi andika.. sio mazuri hataβ¦
Ila nimeogopa sana [emoji23]
Sitaki mchezo na wanaume
Khaaa
Hao watu wana panick mbaya sanaaa
Uzuri, nilifanikiwa mtuliza
The rest hayanihusu
Na jana imekuwa ya kwanza na mwisho.. isije siku nyingine kikarushwa kitu kikaniumiza kimasihara [emoji119][emoji119]
πππ sitekekiNaona unataka kutekwa kihisia asubuhi asubuhiπ€£π€£π€£π€£
Shetani kashaanza kazi yake