Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli bado ni yaleyale tuπŸ˜‚πŸ’”πŸ’”πŸ’”πŸ’”
Tanzania jamani Cha moto tunakionaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Halafu whyyyy watuandikie bando la masaa 24 au la mwenzi hali ya kuwa si kweli😬😬
 
Mie sasa huyu binti Yangu wa kazi na kina junia ni wanataka wali kila leoooo asubuhi mchana jioniii huwaambii ugali ni wali tu hawana mdaaaa!! Huku niliko uliza bei ya mchele sasa!! πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Mitano tena
Tulikuwa na binti hataki kula chakula kingine nje na wali.
Akawa anapika mwingii usiku ili ale kesho asubuhi na mchana na ukibaki anamwaga.

Nikafunga store nikawa napima..
Dhambi za kuharibu chakula na wakati watu Wana uhitaji.
 
Balaa snaa hao,, tena hao ukiweka vocha ukashangaa shangaa unakuta mia haiko..

Mb zinatembea balaa
4G yao sio ya kitoto
Na wao wanatukomesha
Hili tatizo nilijua liko kwangu tu...mie mara nyingi nikiweka nakuta 200 haipo na sijajiunga na huduma zozote!
Mfano nikiwa na Salio kwa simu kila Siku nakuta 200 wamekata !!
 
Bora watu tu hizo sijui wiki,mwezi..
Waweke tu kuwa ni bando za masaaa🀣🀣
Kuna siku dada angu aliwapigia akawauliza bando langu la week why ndani ya siku tatu limeisha wanazuga eti Youtube ndio sababu 😁😁😁
 
Tulikuwa na binti hataki kula chakula kingine nje na wali.
Akawa anapika mwingii usiku ili ale kesho asubuhi na mchana na ukibaki anamwaga.

Nikafunga store nikawa napima..
Dhambi za kuharibu chakula na wakati watu Wana uhitaji.
Mie nilimuweka chinii nikamuelekezaa.. bwana dogo maisha yanaenda hivi na vileee.. uzuri huku tulipo vyakula vya asili kibaooo nawaambia tu mkichoka kubadili viazi mihogo magimbi kuna ngano pikeni maandazi chapati au chochote mnachotaka ngano ipo ndani mayai telee nyie tu mpike za kumimina au laa! Siku wali ukibaki usiku sauwaaa nyie asubuhi kuleni hadi msazee!!
Hivohivo akawa Usiku anapimaa mwingii nikamwambia wee usintanieeee!!
Nikawa nafungia mafuta nampimia namwambia hayo wiki mbili dogo!!

Binti mwingine nikamleta si akapata kakijana kasela ka kujipigia weeee alininyoosha! Mie nikiwa kazini Msela anakuja kuanzia asubuhi anaondoka muda naokaribia Kurudi kazini...
Tukifunga nilikua namuacha hata mwezi au wiki 2 hivi nzima kumbe Ndiokwanzaaaa mwamba alikua anahamia kabisa as if wameoana hapo kwangu wanakula wanalala wanajiachia vyakutosha! Siku waakiamua kupikia hapo wanapikaaa wanakulaaa... wakiamua kupikia kwa mwamba Binti achota tu mavitu wanaenda kupika hukoo!
Sasa nikawa nashangaa Mbona vitu vinaisha mapema na mtu yuko pekeake how which where???
Au kama tupo ila Mbona sikuhizi vinawahi kuisha??? Siku nilisahau kitu nikarudi ghafla nilichokikuta
!!
 
Kuna siku dada angu aliwapigia akawauliza bando langu la week why ndani ya siku tatu limeisha wanazuga eti Youtube ndio sababu 😁😁😁
Mimi walinikata vocha yangu.
Nimeweka elfu 2 ili niunge bando,nadhangaa 300 haipo...
Nikawapigia hakuna sababu ya maana walionipa.
Nikaona Hawa hawanijui.
Nikakopa na Wala sina mpango wa kuwalipa.
 
Unalea binti na kashkaji kakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”πŸ’”
 
Mimi siwezi πŸ˜‚

Walinikataga salio nikakasirika, nikaenda Tigo.. tigo jau tupu, speed haifikii voda..

Nikajionea tabu, nikarudi zangu voda
Mimi napambana na Airtel
Jana wametukatia mtandao na msamaha hawajatuomba ila mara mia huku kuliko hawa majambazi Vodacom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…