National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,197
Mie nataka karangaa mbichi kwa wingi shangazi 😀😀😀 ambazo zimetoka toka shambaniNawaletea vyote mjomba nyie andaeni list ya mnavyotaka tu
Mie nataka karangaa mbichi kwa wingi shangazi 😀😀😀 ambazo zimetoka toka shambaniNawaletea vyote mjomba nyie andaeni list ya mnavyotaka tu
Andaa list ya unavyotaka naja mjinii💃Wachaa
Oh kabisa! Kwahio huu Mwili Wangu unaona umepungukiwa madini rafiki???
![]()
Trobaaaaaahh!🤭 Utaenda zilia kwako lakini mjomba si ndio!😉Mie nataka karangaa mbichi kwa wingi shangazi 😀😀😀 ambazo zimetoka toka shambani
Nazipenda sana, hapa nilipo nazila nimesahahu hata chai, napiga zenyewe na sukari 😁😁Trobaaaaaahh!🤭 Utaenda zilia kwako lakini mjomba si ndio!😉
Hapo umerenga penyewe walai! Mafuta yamerundikana hadi sio poa!! Sura ishakua kama fenesiii😉😉 Mrashia arudi tu jamani!!🚶🏼♀️Oh kabisa
Unahitaji protini
Za kukata mafuta kidogo
Unashiba kweli??Nazipenda sana, hapa nilipo nazila nimesahahu hata chai, napiga zenyewe na sukari 😁😁
Nakupenda pia babygirl😍😘😘Nawapenda nyie watu wawili 😂😂 Lenie myoyambendi
Mko so sosho, and loyal
Shikamoo jirani…
Shoga angu hujambo?
😂😂😂😂
Poker masta wa kiherehere 😂😂😂
Carrasco putin mr mitelezeo
Saint Anne cake jana ilikuwa tamu, nikijisikia kushea picha nitashea..
Heaven Sent ulezi mwema mama Abiud, mtoto aanze kutembea urejeee selfika 🥰
Bwana weee ona 🤣🤣🤣🤣 huu mkeka ukitick mambo ni 🔥🔥🔥Imeisha hiyo
Shangzi badae kidogo, hapa sijavaa nipo kifua wazi na boksa tuu kama ya jux 🤣🤣National Anthem mjomba nasubiria selfii yako hapa
zinashibisha vizuri sana kukata njaaa yote 😁😁Unashiba kweli??
Itabidi nitangulie mie kuripot ila Wigelekelo akiwa anarudi toka Burundi ntamuomba apitie virago vyangu anijie navyo asee atakapoviweka atajua yeye!Utanikuta Shangazi standa naiusbiri basi au airport ? lazima nikupokee shangazi yangu 🤗🤗🤗
Njaa kama njaa! Sauwaaa mjomba selfika basi!!zinashibisha vizuri sana kukata njaaa yote 😁😁
Trobaaaaaahh😳 🙌🙌🙌🙌🏃🏼♀️🏃🏼♀️Shangzi badae kidogo, hapa sijavaa nipo kifua wazi na boksa tuu kama ya jux 🤣🤣
Trobaaaaaahh!Utaenda zilia kwako lakini mjomba si ndio!
![]()

Nimeona
😊😊 Karibu sana shangaziItabidi nitangulie mie kuripot ila Wigelekelo akiwa anarudi toka Burundi ntamuomba apitie virago vyangu anijie navyo asee atakapoviweka atajua yeye!
😁😁😁 nahisi kesho kufikia saa sita za usiku nitakuwa na mzigo wangu eeh🤣🤣🤣Nimeona