Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Mungu ni mwaminifu,Wahi kanisani uniombee na mimi nipunguze dhambi๐
Mungu ni mwema. Tunaendelea vizuri na zoezi; taratibu tunarudi kwenye formulaNawapenda nyie watu wawili ๐๐ Lenie myoyambendi
Mko so sosho, and loyal
Shikamoo jiraniโฆ
Shoga angu hujambo?
๐๐๐๐
Poker masta wa kiherehere ๐๐๐
Carrasco putin mr mitelezeo
Saint Anne cake jana ilikuwa tamu, nikijisikia kushea picha nitashea..
Heaven Sent ulezi mwema mama Abiud, mtoto aanze kutembea urejeee selfika ๐ฅฐ
JingaaaaEeh[emoji849]
Ma mchungaji huyu HS[emoji848]
Nilijua ni NuN
Kumbe nao utam kolea
Kwa sana tu[emoji1787]
Saint Anne tuanze tu maombi ya ukomboziMimi siyo mrefu wewe...
Mimi ni "Tall" ila sina hakika kama ni "Dark" kuna ka lotion flani natumia keusiii kama mkaa nafanya jitihada nione kama December itafika nikiwa nimefanikiwa kuwa Dark ili mama mchungaji Heaven Sent anisajiri kwenye kile chama๐
Ila bahati mbaya sina uchebe, ndevu zangu hazina ushirikiano๐
Kwa Jena la YesoSaint Anne tuanze tu maombi ya ukombozi
HongeraNawapenda nyie watu wawili ๐๐ Lenie myoyambendi
Mko so sosho, and loyal
Shikamoo jiraniโฆ
Shoga angu hujambo?
๐๐๐๐
Poker masta wa kiherehere ๐๐๐
Carrasco putin mr mitelezeo
Saint Anne cake jana ilikuwa tamu, nikijisikia kushea picha nitashea..
Heaven Sent ulezi mwema mama Abiud, mtoto aanze kutembea urejeee selfika ๐ฅฐ
Hhmm...unataka nizimie ๐๐Agiza kingine kwa bili yangu aunt
Naomba kiatuMungu ni mwema. Tunaendelea vizuri na zoezi; taratibu tunarudi kwenye formula
Saint Anne tuanze tu maombi ya ukombozi
Amen๐Mungu ni mwaminifu,
Ukusamehe dhambi zako na uziache zote kabisa.
AmeeeeeeeenKwa Jena la Yeso
Bwana akutie nguvu..Mama mchungaji nimeacha ๐๐๐
Haya naongezea kwenye Ile listNaomba kiatu
Amina๐๐Bwana akutie nguvu..
Au unamaanisha niifute selfie yangu nkamu?Amina๐๐
Selfika basi tuone
Kile ni kiatu nkamuAu unamaanisha niifute selfie yangu nkamu?
Ndiyo selfies zimeanza sasa; more to comeKile ni kiatu nkamu
Tuone kaselfie kenyewe umepotea sana mama mchungaji hadi tumekusahau