Naomba uniachie hapo Nzovwe..wiki ijayo nitalipitia.Nitakutumia vyote mama mchungaji
Nipe anuani ya makazi tuu
Sawa nitamuachia sister utavikuta kwakeNaomba uniachie hapo Nzovwe..wiki ijayo nitalipitia.
Ushalipiwa weweNaomba uniachie hapo Nzovwe..wiki ijayo nitalipitia.
😃Ushalipiwa wewe
Tena umelipiwa haswaa
Toa anwani hiyo
Unaruka ruka tu kama pop kon
Yupo huku🥺Sawa nitamuachia sister utavikuta kwake
Wa 12 atakuwa[emoji2]
Huyo anakujua hadi nyumbani
Nimecheka sana 😂😂😂Na leo utakula hivyo hivyo vilivyoungua🤣🤣
I can sense where zis makasiriko is coming from
Usikate tamaa, kukosea ndio kujifunza shogare🤣🤣🤣🤣
Wee dyadyaaaa, leo twende Ruhuwiko, Hunt club tuka swim,
Kazana… usisahau tall dark wana chebez 😂Ni jitihada za kuutafuta u "Dark" kweli hii kitu inanishughulisha balaa🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]With One and Only Mc Brother K[emoji141][emoji1739]
Halafu ni fansKazana… usisahau tall dark wana chebez [emoji23]
Unawolewa Boss Lady[emoji848]God of a second chance!
Yule ni liverkukuHalafu ni fans
Wa Arsenal[emoji1787]
Mwakasensa Saint Anne
Nakuona hapo na vigoli vyako[emoji1787]
Na umepigwa mboko tano za ugoko
Niolewe mara ngapi Wige huyo Ndugu yangu!!Unawolewa Boss Lady[emoji848]
Li zuriYule ni liverkuku