Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo nina furaha mnoooo, afu nlikua bored, but now niko muruaaaaaaah!!!!!!!

Team za kushinda tyuuuuh,

Away [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Home [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]

Mpira ndio furaha na burudani yangu.

Woyoooooooooooooooooh!!!!!!!!!
 
Leo nina furaha mnoooo, afu nlikua bored, but now niko muruaaaaaaah!!!!!!!

Team za kushinda tyuuuuh,

Away [emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]
Home [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]

Mpira ndio furaha na burudani yangu.

Woyoooooooooooooooooh!!!!!!!!!
Acha kelele bhas[emoji849]

Hivi hujambo

Lile ombi langu vipi[emoji848]

Nipo palee nasubiri majibu
 
Etihad 4 lifeeeeeee.

[emoji170][emoji170][emoji170][emoji170][emoji170]

Mr Hat trick

Haaland!!!!!!!!!!!!

Top score ajayeeeeee.

Weuweeeeeeeeeeeh,

[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2336750
Tugoli tuchache tu. Tena wamewafunga na nyie mnasumbua.

Mngeshinda 9 Kwa nunge kama sisi timu ya dunia,si mngewehuka?
 
B709674A-E433-4177-8276-8000AEEE4503.jpeg
Ulivyo Li zuri
Selfikaaaa
 
Naiona picha kabisa.🥰🥰
Na iwe kama unenavyo.hakika sitokusahau ndugu yangu.have my words.
Kama Ezekiel alivyoambiwa na MUNGU itabirie uhai hii mifupa mikavu na kisha akaitabiria uhai ikaamka na kuwa jeshi kubwa,basi km wewe ni mfanyakazi wa kawaida (mifupa mikavu) hapo ofisini kwako basi nakutabiria kuwa utakuwa bosi mkubwa sn..sema Ameen
 
Back
Top Bottom