Selfika na JF: Snap it. Show it

COCA ndo alisema ni mafungu ya nyanya mm nkamwambia ile ni rungu kama anataka kujua ni rungu apee jux kitumbua ndo atajua nikitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee kuna rungu paleee?? Au macho yako yapo holidei ya Sensa????
 
Ni cocastic
Lawama zote apewe cocastic
Narudia huu mchachuo ni wa cocastic
Tena kaweka ndimu na chchandu ya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaa, ni wee umeandika au?? Mbna mie nimepoaaa sanaaa, afu hadi watu wanasifia now nimekua nimeacha utoto. Uwiiiih
 
Kho kho kho khokoh kho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…