Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mbona Njiro hatujahesabiwa? Hata ofisini hawajapitaโ€ฆ nyumbani pale labda gate hawakufunguliwa..

Ila Kikwakwaru wamehesabiwa, sina hakika kama Kikwakwaru ni sehemu ya Njiro, ila iko mgongoni kwa Njiro
Njiro yote kwaanzia kontena makaburini ppf wamepita na karani wamejaa huko. Au wewe uko njiro ipi ile ya kule tindiga nini? ๐Ÿ˜‚
 
Wewe na urefu wako lakini kwa kifua nakufikia ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ
Au wewe sio mrefu ๐Ÿ˜?
Mimi siyo mrefu wewe...
Mimi ni "Tall" ila sina hakika kama ni "Dark" kuna ka lotion flani natumia keusiii kama mkaa nafanya jitihada nione kama December itafika nikiwa nimefanikiwa kuwa Dark ili mama mchungaji Heaven Sent anisajiri kwenye kile chama๐Ÿ˜

Ila bahati mbaya sina uchebe, ndevu zangu hazina ushirikiano๐Ÿ˜”
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Niwaambie kuwa wee ni tall, medium dark and handsome? Sio mnene, sio mwembamba ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ huko tu hapo kati

Afu kweli ndevu hazijakaa kiuchebe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃmuone Hornet akuuzie mafuta ๐Ÿค—
 
.
 

Attachments

  • FB_IMG_1636177112949.jpg
    23.4 KB · Views: 35
  • FB_IMG_1636177105560.jpg
    10.4 KB · Views: 29
Hili zoezi ni bora mabalozi na wenyeviti wangepita kuhesabu watu wao, then makarani wakakuta data zote ofisi za serikali za mitaa, ndipo waanze ku feed data kwenye vishikwambi vyao,watu wengi wanalalama hawajapita kuwahesabu..
Upo sahihi kabisa mkuu. Zoezi wamelifanya liwe gumu na gharama wao wenyewe na hata kupata data kwa ufanisi ni ngumu sana, watajukuta wana garbage za kutosha. Kwa technologia ilipofikia kupata idadi ya watu kwa usahihi ni rahisi sana tofauti na njia walio chagua wai. Ila tuishi nao tu, nili wish kunesabiwa ila paka sasa hivi sijahesabiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ