Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Junia ametushika masikioWalete waleteeee woteeee najua picha zao unazooooo usizingue Basiiii!!
Ati hataki tuweke!
Junia ametushika masikioWalete waleteeee woteeee najua picha zao unazooooo usizingue Basiiii!!
😍😍Nami pia mpendwaNimefurahi kukuona Mpendwa
Mungu aendee kukutunza wewe pamoja na familia yako😍😍Nami pia mpendwa
Simu Ukiweka naked yako namuweka hadi mrashiaa kama alivoooo!!Angalau sasa bosiledi ufunge dimba
Leo picha kalikali...
Junia yuko na Pep .
Babe hta km dunia itasimama kw penz lako stokuacha uendePepoo troooookaaaa....in Mahondwaz voice


nakupenda Lovelovie una mwili mzur wa kimahabaMrashia weuwee😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥Simu Ukiweka naked yako namuweka hadi mrashiaa kama alivoooo!!
Siasa hizo Anne!!Junia ametushika masikio
Ati hataki tuweke!
Akiyanani Tena!Siasa hizo Anne!!
Hahha tupo dada mm ndo sinapicha mpya kabisa nimetingwa yaan kupiga picha ni ishu labda ya zamni wakat nipo Binti😂Madam sophy27 msukuma Shimba ya Buyenze mlisema mida yetu mtatupiaa mkuje mkujee!! Bila kusahau mr Vocha Mjep the great kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiinnnggggg ✌️✌️✌️
Nathemaaa hadi mrembo ya kinyaki utupie naked yakoo namuweka mrashia liveeMrashia weuwee😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yangu ataleta Pep ukishaweka mrashia.
Izoizooo tuone Madam jinsi ulivowatetemeshaaaa🔥🔥🔥🔥🔥😘Hahha tupo dada mm ndo sinapicha mpya kabisa nimetingwa yaan kupiga picha ni ishu labda ya zamni wakat nipo Binti😂
Mim niUlinunua wapi kagauni jamani 🔥🔥🔥
Nlinunua mnadani.... Mim napenda fashion ccy napenda nguo, napenda urembo wa nyumba...... Hilo gauni nlinunua sh elf 2...... Lilikua limechanika mno na kubwa nlitengeneza hadi likawa hivo.... Nlichofunga kiunoni ni kitambaa Cha kichwan nmekikunja nkajifunga..... Unaweza jua mkanda..... Hicho kitambaa nlinunua bukuUlinunua wapi kagauni jamani 🔥🔥🔥
Uswahiliiii Huoooo !Dar washakuharibu ujue 😉😉!!Akiyanani Tena!
Mamaa wa Fashiiooooooo👌👌👌👌😘😘!Mim ni
Nlinunua mnadani.... Mim napenda fashion ccy napenda nguo, napenda urembo wa nyumba...... Hilo gauni nlinunua sh elf 2...... Lilikua limechanika mno na kubwa nlitengeneza hadi likawa hivo.... Nlichofunga kiunoni ni kitambaa Cha kichwan nmekikunja nkajifunga..... Unaweza jua mkanda..... Hicho kitambaa nlinunua buku
Ccy tupia moja kabla bundle langu halijakataMamaa wa Fashiiooooooo👌👌👌👌😘😘!
Santo sana
Toka sijazaliwa nayajua mahabaToka lini ukayajua mahaba
Shairi halijashiba tunga lingineToka sijazaliwa nayajua mahaba
Nimekupenda muda mrefu kabla ya mwanzo wa nyakati na nitakupenda hata wakati kumbukumbu zetu zitafutwa kutoka kwa uso wa Dunia.
Unajua siri za moyo wangu una ufunguo wa kufungua moyo wangu na nina hakika hautapoteza kamwe au utatupa
NAKUPENDA MPENZI Lovelovie toto la kisukuma
Wakuweka vocha tuliopo hapa unamuona kwani sis???🤔🤔🤔!! Mr vocha sijui amesharara Jamanii!! Dohh!!Jamani uwiii vmbs vyangu vinakwedraaa....selfikeni vocha za halotel tafadhali tafadhali 😜
Mxieeew kafie mbele huko mwaka huu hauishi unaachikaShairi halijashiba tunga lingine


