Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hivyo viatu vilimtengua miguu Nkamu wetu mrembo simara.Cha mwanzo kabisa nusu kinivunje nyoga wakati najaribisha🤣🤣🤣kiranga kwisha
Hivyo viatu vilimtengua miguu Nkamu wetu mrembo simara.Cha mwanzo kabisa nusu kinivunje nyoga wakati najaribisha🤣🤣🤣kiranga kwisha
Yeah keep that spirit usirudi nyuma mkuu!Ahsante Surbi..
I feel encouraged.
😊😊Greetings My Sister Chakorii
Actually siishi kushangazwa with your humility 🤗
Nakumbuka ila mishemishe my sister zinanikaba sana.. 🙈
🤣🤣🤣sijapendaSasa unataka nini Mkuu?
Kanisani hutaki, serikalini hutaki.
Rarely Cases huwa inatokea watu kufungishwa nje na Kanisani,,mfano labda uko hoi kitandani hujiwezi.
Nje na hapo hauna shida yoyote labda mpate mchungaji kanjanja awafuate.
🤣🤣🤣na yeye kiranga kwisha🤣🤣Hivyo viatu vilimtengua miguu Nkamu wetu mrembo simara.
Ufupi wa kina cha chinina yeye kiranga kwisha
Bora nibaki na uandunje wangu huu nimechoka kujivuta Kwa juu na viatu.
Kwanza nasikia ufupi ni mzuri Kwa ladies![]()
!Yewomieeeeeeeer😆😆Ufupi wa kina cha chini!
Sasa eti mwanamke anakuwa mrefu kama muanzi,ulisikia wapi🤣🤣🤣na yeye kiranga kwisha🤣🤣
Bora nibaki na uandunje wangu huu nimechoka kujivuta Kwa juu na viatu.
Kwanza nasikia ufupi ni mzuri Kwa ladies 😆😆😆😆😆😆😆😆
Mwenye njaa 😁🤣🤣🤣sijapenda
Hakuna mchungaji wa kiroho asiye kanjanja atawafuata.Core issue ni Mchungaji wa Kiroho ila mahali not a big deal sana na niliposema ofisini kwake ni endapo itawezekana lkn sio sharti sana...
No Mkuu! Nahitaji Mchungaji asiye kanjanja..
Mmh sio rahisi sana. Ni vyema Mchungaji awajue kondoo wake vizuri kabla ya kuwasimamia jambo lao lolote la kiroho. At the end of the day yeye ndiyo atakuwa answerable juu ya ndoa yenu in case of anything.. Ndiyo maana hata tunapotaka kufungia ndoa/ mazishi mbali na tunapoishi; tunapewa barua kutoka huko tulipotoka kwenda nayo huko kwingine. Ni kama ambavyo sio rahisi wewe kumdhamini/ kum-recommend mtu ambaye humfahamu kabisa.Core issue ni Mchungaji wa Kiroho ila mahali not a big deal sana na niliposema ofisini kwake ni endapo itawezekana lkn sio sharti sana...
No Mkuu! Nahitaji Mchungaji asiye kanjanja..
Kwamba haelewi?Hee🤣🤣
Heaven Sent leta majibu hapa
Tall dark guy.Nipo rafiki
Mke mwema wa Pep
Dada yake kipenzi na National Anthem
Binamu yake Heaven Sent
Mpinzani wa Poker
Halafu nakupenda bure
Ukicheka unaachia yote
HaelewiKwamba haelewi?
🥺poleeeeeeh
Anakuzingua banaHaelewi
Hebu mpe samare
Amekataa na surprise yetu🥺Anakuzingua bana
Tutam-surprise kilazimaAmekataa na surprise yetu🥺
Nope; nisikutie moyo, wala nisikukatishe tamaa. Nendeni kwenye kanisa mnalotamani kufungia ndoa; then waelezeni juu ya Nia yenu njema; naamini watawasikiliza na kuwasaidia kufanikisha jambo jenu. Ila muwe wavumilivu; kufika tu na kufungishwa ndoa within a month sio rahisi. Afu baada ya ndoa mnataka muwe mnasali wapi? Maana isiwe tu mkawa mnataka kanisa liwasaidie kufunga ndoa then after ndoa mrudi huko kusikojulikana. Au tafuteni mtu mzima ambaye anawafahamu kidogo awasaidie kuongea na huyo Mchungaji. Nia yenu ni njema sana; Mungu aifanikishe; ila pia muwe na kanisa maalumu mtakapokuwa mnachungwa na kulelewa kirohoKuhusu kurejea kwenye kanisa nililokuwa nasali kipindi cha nyuma napata wakati mgumu kw sabb ni miaka mingi nimeacha yaani tentatively with effect from 2016 huko plus katika hilo kanisa kulikuwa na utartibu wa kujisajili ushirikia kitendo ambacho sikufanya.
Labda niangalie probability ya kwa mtarajiwa ingawa na yeye sio mwenyeji kivile sabb mkoa ninaoishi amekuja muda si mrefu.. Pia naona kuna hatihati ya kuulizwa nasali wapi judging from your words wanirecommend Vilevile...
Sema maneno yako Mkuu yamenivunja moyo kiaina maana lengo langu ni kutengeneza na Bwana kwa habari ya ndoa yangu na si vinginevyo lakn mazingira seems sio supportive kwa mtazamo wangu.. Na haieleweki duration ya kuwa recommended ni kipindi gani..
There must be a reason. But whatever it is; hakikisha unafufua upya mahusiano yako na Mungu. Na ni vyema kukutana (fellowship) na wengine; kumwabudu Mungu, kuomba, kujifunza neno n.k. Mungu akuongoze kupata mahali sahihi pa kuabuduAhsante kwa ushauri Mzuri Mkuu..
Kuhusu kusali Mkuu, niseme tu namheshimu Mungu sana ingawa anasema imani bila matendo ni sawa na bure na kwel ukichek uhalisia niko mbali sana na Mungu kimatendo...
Mpaka leo sielewi kwa nini nakosa hamasa kabisa na habari za kwenda kusali kanisani maana sina ubize huo na Jumapili zote huwa nashinda home na hata siguswi kwenda..