Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahsante Mkuu..

Sijawahi kuwa mshirika rasmi.. Nilikuwa naenda tu kujisalia tu lakn sikuwahi kujisajili na utaratibu wa kujisajili upo ingawa mimi sikufanya hivyo..

Kingine nimeacha kwenda siku nyingi sana ni miaka sasa..

Nahisi watanikataa sabb si mshirika..
Hawawez kukataa sidhani kama inaweza kuwa hivo japo sio muumin huko nenda Kwa askofu wako ongea nae naamini litakaa sawa
 
Doon decided..

Doon without undue influence i have decided to get marry as soon as possible by next month...

Kuna binti nimefahamiana naye a month now, nadhani anatosha kuvaa cheo cha mke wangu...

Ndoa yetu tungependelea ifungwe na Mchungaji wa Kiroho na iwe simpo tu yaani ikiwezekana ifungiwe ofisini kwake baada ya hapo maisha yaendelee... Nieleweke Kuna sabb za msingi za kutaka hivi...

Hata hivyo, nipo kwenye dilemma juu ya applicability ya mfumo wa ndoa tunayotaka na uwezekano wa kupata Mchungaji wa kutufungisha haraka hivyo maana mimi si mshirika wa kanisa lolote...

Any assistance will properly be appreciated. At least niishi naye kihalali as per prevailing standards 🙏
Maamuzi sahihi..Mungu awafikishe safari yenu salama,awaepushe na kila hula za muovu shetani
 
Ahsante Surbi..

Ya serikali naifahamu lkn hatupendelei...

I just hope kuna namna naweza pata upenyo tukafungishwa na Mchungaji wa kiroho..

Naamini kuna wachungaji huenda wana serve watu kama mimi..
Sasa unataka nini Mkuu?
Kanisani hutaki, serikalini hutaki.
Rarely Cases huwa inatokea watu kufungishwa nje na Kanisani,,mfano labda uko hoi kitandani hujiwezi.
Nje na hapo hauna shida yoyote labda mpate mchungaji kanjanja awafuate.
 
Back
Top Bottom