Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Aisee... Haya sawa...Nimekubali🤣🤣
Aisee... Haya sawa...Nimekubali🤣🤣
Wacha nikomae na Airtel yangu..Aisee... Haya sawa...
Umeanza uchokozi sasa🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🔥🔥🙌
Nilimiss haya majibu🤣🤣🤣
NimecheeekaUmeanza uchokozi sasa🤣🤣
Midomo kama mpuliza moto wa kuni...Hapana ni ya kwako
Nilitegemea nimuone Pep kwanza kabla ya HS..sijapenda…Hee🤣🤣
Heaven Sent leta majibu hapa
Nimeona huko juuDada mkubwa
Na guu la bia
Ile zawadi tutakupa siku ya jambo letu.



Pep anatokea wapi hapa wakati wametandikwa juzi vitatu bila🤣
Tuione sasa😂😂😂😂😂😂
Uzione zile fimbo zangu?🤣🤣
Mimi mwenyewe tu inaniogopesha😂
Nikiendelea kujibu aina hii ya mwandiko hakika kuna kitu lazima nijishushie.Midomo kama mpuliza moto wa kuni...
Ili useme ipo kama ya undertaker eeh??Tuione sasa
WananikomeshaIla ni majambazi,huwa wanakata vocha zangu nikiweka.

Hivi kwanza unatoa wapi nguvu za kusumbua watu wakati nakudai?Midomo kama mpuliza moto wa kuni...
Hujuagi kununa.wewe cheka tuNimecheeeka
Mimi nilijipiga tafu na mpango wa kuwalipa sina.Wananikomesha
Kwenye songesha na mgodi
Mileage ikiingia tu imeenda
Dadek![]()
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hujuagi kununa.wewe cheka tu
OhaaNimecheka karibu nidondoke
Yan braza akili ni kitu hunaga![]()