National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,198
😀😀😀 Nipo Wales asahiviYamenishinda hii holiday ya leo imekaa kiwakiiii
Ngoja niwashe VPN niende duniani
😀😀😀 Nipo Wales asahiviYamenishinda hii holiday ya leo imekaa kiwakiiii
Ngoja niwashe VPN niende duniani
Tungeshinda tusingemtukuza hata maana haya maajabu yapo livapuu tuHio kawaida, kuna jamaa kaenda kushiriki shindano la kubeba vyuma vizito, sasa chuma kimemshinda, muandishi anamuuliza shida nini, anasema anailaumu serikali tokana na bei ya vyakula kupanda...
Sababu zipo... Mngeshinda mngemtukuza Klopp..



Orodhesha unaotaka kuwaona, Mimi nitakutunzia picha zao.Huu uzi kuna wadada huwa nafunga safari kuja kuona picha zao, ila kila nikifika nakuta walituma na wameshafuta, naumia na chakuwafanya sina.
Anaenda Matejoo bila askari anategemea nini 🤣🤣🤣Ila Chuga 🙌🙌.. Depal shida n nn hasa? Nasikia Wadau washapita na kishkwambi cha Karani huko.
Unasumbua mchina mbongoHivi corona bado ipogoView attachment 2333200View attachment 2333201
Basi haya jamani,nifanyie mpango hapo basi ninunue kipya jamaniIli nigundue nini????
Umekitembelea sana asee hadi kinakaribia kuongea kha! 😎😎😎!!
Ya juzi yashapita,Agenda kuu sasahivi ni kishkwambi kilichokwapuliwa jana na watu wa ArushaAnaenda Matejoo bila askari anategemea nini
Afu huyo SA asijifanye kupotezea suala la wao kubamizwaaa Saint Anne




Mtoto mzuri kumbe umejificha huku!Anaenda Matejoo bila askari anategemea nini 🤣🤣🤣
Afu huyo SA asijifanye kupotezea suala la wao kubamizwaaa Saint Anne
Kumbe ni Matejoo? 🤣🤣🤣. Hamna namna kishkwambi kingebaki salamaAnaenda Matejoo bila askari anategemea nini 🤣🤣🤣
Afu huyo SA asijifanye kupotezea suala la wao kubamizwaaa Saint Anne
Mane kqwqachiq kijiniYa juzi yashapita,Agenda kuu sasahivi ni kishkwambi kilichokwapuliwa jana na watu wa Arusha
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
SA amepata sababu bhana. Anasema sababu ni Klopp kuanzisha wazee wawili wakati sisi tuliacha wazee njeAnaenda Matejoo bila askari anategemea nini 🤣🤣🤣
Afu huyo SA asijifanye kupotezea suala la wao kubamizwaaa Saint Anne
Bana weee kuna mtu alinambiaga nimsindike huko, nikasema asalaleeee sirudii tenaaaaKumbe ni Matejoo? 🤣🤣🤣. Hamna namna kishkwambi kingebaki salama
Aache kumpangia boss, mwambie boss hapangiwiSA amepata sababu bhana. Anasema sababu ni Klopp kuanzisha wazee wawili wakati sisi tuliacha wazee nje
ShikamoooMtoto mzuri kumbe umejificha huku!
Niliona libabu likiingizwa dakika ya85SA amepata sababu bhana. Anasema sababu ni Klopp kuanzisha wazee wawili wakati sisi tuliacha wazee nje
Hahahhaaaaa. Tatizo ww umezoea huko ushuani kwenu tuuBana weee kuna mtu alinambiaga nimsindike huko, nikasema asalaleeee sirudii tenaaaa
Huwa anavuta bangi Klopp sometimesAache kumpangia boss, mwambie boss hapangiwi
Kuna mzee wenu mmoja alilambishwa nyasi na Sancho bila kupenda 🤣🤣Niliona libabu likiingizwa dakika ya85
Wakali jingine likiendelea kusugua benchi nje.
Sisi babu letu limezunguka uwanjani muda wote.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app