Mimi Sakina nilikuwa natembea hadi saa 6 uskku, tuko tu na shoga angu…
Nikienda Dar saa 11 alfajiri nachoropokea tu hapo Raskazone alone na bag langu
Sikuwahi hata kusikia mluzi wa wee simama eti nianze kukimbia ama kuporwa ..
Ila nasikia kale ka mtaa ka Triple A kupanda ile rough road ya juu kunae vibaka balaa [emoji23][emoji23] sijui kule panaitwa white Rose.. sema huku sio Sakina si ndiyo?
Carlos Tevez
Kishikwambi kimeibiwa uswahilini huko Matejoo sijui Unga Ltd
Saint Anne itakuwa karani alikaa kireee sana , wajuba wakamsaidia matunzo [emoji23][emoji23][emoji23]