Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
Watakuja nafikir sio zoez la sikumojaWa sensa mbona hawapiti??? Mie natoka zangu kwani kwenye magari hatuhesabiwi?? !!
Watakuja nafikir sio zoez la sikumojaWa sensa mbona hawapiti??? Mie natoka zangu kwani kwenye magari hatuhesabiwi?? !!
Wawe wanatoa ratiba watu tujuee sio tunakaa kusubiri na hawaji mambo ya kufanya ni mengiii sie pia tunataka kuingiza kitu kama wao walivyolipwa!Watakuja nafikir sio zoez la sikumoja
Ahsante
Hawajapita,, afu naona kimya hapa ndani… sijui kama kuna watuMakarani wamepita?
Combination ya bamia na ngongwe tamu/ mshumaaa vidumu daima 🔥Maandaliz ya lunchView attachment 2332318View attachment 2332322
Watu wamesepa.Hawajapita,, afu naona kimya hapa ndani… sijui kama kuna watu
Yaani watu wamegonga geti hadi wameondoka. Kumbe uko ndani umejikausha?Hawajapita,, afu naona kimya hapa ndani… sijui kama kuna watu
Sijasikia banaYaani watu wamegonga geti hadi wameondoka. Kumbe uko ndani umejikausha?
😂😂😂Yaan acha tuCombination ya bamia na ngongwe tamu/ mshumaaa vidumu daima 🔥
😂😂😂Mamaangu anasema waje na juis na keki hawawez kutuuliza maswali hawajui kma tumekula au lah 😂😂😂Wawe wanatoa ratiba watu tujuee sio tunakaa kusubiri na hawaji mambo ya kufanya ni mengiii sie pia tunataka kuingiza kitu kama wao walivyolipwa!
Nikajua utaenda kuleeeee😛Me siku yangu leo inaishia kitandani.. nimemaliza kula,, naanza upyaaaa kumbonjiiiView attachment 2332396
😂😂😂 tuko busy na sensaNikajua utaenda kuleeeee😛
woolworths au street soul 😵💫😵💫Wazima humu ndani
Mnisaidie kulingana na hali ya tozo 🤣kati ya vunjabei au Mr kadeti wapi nitapata suruali nzuri za kiume??
Na hivi sijapanda bas la njano😂😂😭woolworths au street soul 😵💫😵💫