Ni ku copy na ku paste tuMwenye 14 nakusalimiaa Shikamoo!!! Unaupiga mwingi sio kitoto π
Speed kakaa speed..kuna pipo zina mbio ni nuksiii.. voda zote mbili wa14 kapitanazo dadeqNi ku copy na ku paste tu
Watu wana speed ya hajabuπππππ
π·π·Mimi ni nani usinipige ππ ?
Nikimweleza Bibi yako hizi habari lazima atafurahi sana, jiandae uje tuhesabiwe wote Mjukuu πBabu nakumiss sana jaman
Nitakuja huko week ijayo, nimemiss vyakula vya kiasili
Nitakubutua ππ·π·
Nakuja babu, niwaletee nini na bibiNikimweleza Bibi yako hizi habari lazima atafurahi sana, jiandae uje tuhesabiwe wote Mjukuu π
Hongereni sana πSi kuanzia leoπ
Sentensi ya mwishoMimi nikikumbuka vicheko vyangu Kwenye vunues zenye maelfu ya watu pale Udom akiyanani nacheka Tena[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna dada nilikuwa nakaa naye ibadani,yaani akicheka na mimi nacheka Kwa sababu ya kicheko chake.
Nikicheka namchekesha Tena,akicheka watu wote wanaanza kucheka kwa vicheko vyetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi tunasinga mbele na vicheko kama injili.
Yaani huko Whatsapp nikikutana naye nivicheko Kwa kwenda mbele kama mambumbumbu hivi .
Na vile kujibana siwezi yaani unakuta nimeachama hadi mwisho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Irudiwe mkuu πππ
ingekuwa voda ningebeba kombe
Babu la mchongoUkianza kuelezea Vita vya Maji Maji utasema 1905-1907 ulikuwepo [emoji23]
Chief wewe kula samaki tu leo hizi ni za Surbi atakulogaπππIrudiwe mkuu πππ
Voda kakaaa zangu wapi wenye nazo ndio wanaweka mkuu Sijaambulia kituπππ
π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ« wanataka haki sawaChief wewe kula samaki tu leo hizi ni za Surbi atakulogaπππ
na hii ningepitia nayoSelfika na #tigo#
*104*425227332995703#
Nipo vyema Mkuu, habari za siku nyingi?Babu la mchongo
Habari mkuu
Haki sawa wapiii mkuu !π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ«π΅βπ« wanataka haki sawa