Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nikikumbuka vicheko vyangu Kwenye vunues zenye maelfu ya watu pale Udom akiyanani nacheka TenaπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Kuna dada nilikuwa nakaa naye ibadani,yaani akicheka na mimi nacheka Kwa sababu ya kicheko chake.
Nikicheka namchekesha Tena,akicheka watu wote wanaanza kucheka kwa vicheko vyetuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sisi tunasinga mbele na vicheko kama injili.

Yaani huko Whatsapp nikikutana naye nivicheko Kwa kwenda mbele kama mambumbumbu hivi .


Na vile kujibana siwezi yaani unakuta nimeachama hadi mwisho🀣🀣🀣🀣
 
Emu acha bange 🀣🀣
Yaaani nilikuwa muanzisha vicheko..watu wanacheka Kwa namna ninavyocheka
Akiyanani katika kitu siwezi kujizuia basi ni kicheko na kilio.


Kicheko Cha matajiri na wenye kazi sijui nitacheka mbele ya Safari huko.


Siku moja boss alipokea simu,,yale maongezi yalikuwa yanachekesha japo ya vitu serious...Mimi kama kawaida mtoto wa watu nikajiachamia🀣🀣🀣🀣
 
We mchochezi mdogo wangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Amechanganya mie ni semeji buana mwenye mali Mamaa mwenye Shepu lakee la kuombea mkopo !! Mamaa wa kibanda cha vocha mamaa asie na makuu mamaa mpole Antony Nyampua 😎
 
Amechanganya mie ni semeji buana mwenye mali Mamaa mwenye Shepu lakee la kuombea mkopo !! Mamaa wa kibanda cha vocha mamaa asie na makuu mamaa mpole Antony Nyampua 😎
Mdogo wangu na wewe upambe kumbe unauweza ngoja aje mwenyewe upambane naye πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…