Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,222
Go bwanaaaNdio maana anatudharau sisi majobless tukikosa bando.
Tabia yake sio nzuri, sijaipenda
Go bwanaaaNdio maana anatudharau sisi majobless tukikosa bando.
Tabia yake sio nzuri, sijaipenda
Katika kazi sifanyagi ni kuprove mtu wrong 😂😂😂Em tuone ndio tuamini
Safii jirani
Yaani inakua nzuriUnaona picha inavyowaka? B&W live longer 😍
Ngoja nikamwambie mtoto wa mtu atoke huku haraka kabla hajakwapuliwa 😍😍😍
AiiiiiiiiiKatika kazi sifanyagi ni kuprove mtu wrong 😂😂😂
Kitanda chenyewe futi MojaNije tusinzie wote

Niweke 🤣🤣Tutakuweka kwenye ignore list ohooo
Sema pale ni ushakufa na kuoza 😂😂😂 aje tu akuzike 😍😍Yaani inakua nzuri
🤣🤣🤣🤣 akwapuliweje
Unamjua crush wangu depal? Halafu kumbe unazurura hadi kuleNenda uzi wa kimasihara unaweza mkuta![]()
Ananifurahishaga yule dada

Namjuaaa 😂😂😂 nikizururaga huko nakuona..Unamjua crush wangu depal? Halafu kumbe unazurura hadi kule![]()
🤣🤣🤣 tena akimbie ohooo 😍Sema pale ni ushakufa na kuoza 😂😂😂 aje tu akuzike 😍😍
Kwani kufungua new acc bei gani😂😂Niweke 🤣🤣
Na nikishika simu ya babe nakublock 😂😂😂😂😂 hata ikatokea siku unamtag hatoona
Utakaa hapo usubirie kujibiwa, utakeshaaa na mwishoni utapauka
😂😂😂😂😂 subiri nikamkatie ticket🤣🤣🤣 tena akimbie ohooo 😍
😂😂😂😂 uswahili huoKwani kufungua new acc bei gani😂😂
Em fanya hivyo, weekend ndio inakaribia hapa.😂😂😂😂😂 subiri nikamkatie ticket
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂 uswahili huo
Aisee mwanamke mwenye Range Rover Sport




muke ya wazirAisee...jirani wewe.Namjuaaa 😂😂😂 nikizururaga huko nakuona..
Kule nafikaga kuona venye wanaume wana trick gani, ili mbinu za kuchomoa zitafutwe
😂😂 duuhAisee mwanamke mwenye Range Rover Sportmuke ya wazir
😂🤣😂😂😂🤣😅😂!JF imekunyoosha, chezea weyeeee
Poleeeeeh