Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,490
- 203,180
Bahati za nini mkuu?Aisee....Kuna watu wana bahati..😀😀
Bahati za nini mkuu?Aisee....Kuna watu wana bahati..😀😀
Salama jirani..mimi sina wa kunimiss hapa jirani, labda Lenie kwa mbaaali...Sijambo jirani,, habari ya wewe?
Naaam jirani...@Lenie njoo unipe salam,😂😂😂 jiraniiiiiii
HahaWakimissika wanauliziwa😀😀
Asante jirani mwema,Haha
Hapana mkuu
Huyo ni zaidi ya mwezi sasa ndio maana nauliza,, isijekuwa ana majanga mazito,, namuombea arejee salama “ Ni miongoni mwa wale marafiki wema..
Wewe potea hapa siku 3
Nitakutafutaaa hadi google 😂😂
Babe

Mpaka mnimiss...
Amen jirani… Love mingii mingiiiAsante jirani mwema,
Jirani yako ndio nduguyo..
Kheee 🤣🤣🤣Mpaka mnimiss...
Si na mimi napotea. Tuone utakua unacheka na nani🤣🤣😂😂😂 nitawachanganya niwasute?
Hahaaa.
Huku Mwanza vijijiniWapi huko? Leo kwetu saa 1 hapo kulikuwa na baridi sana…
Sahivi kuna kijua cha mchongo na kibaridi pia



SawA love ntafanya hivo asanteMe niko poa dear.
Uwii pole jamani, hapo hakikisha socks hazikosekani miguuni na sweta muda wote usije umwa kifua.
Baridi sio kabisa
Thubutuuuu!!! Bossi wangu anitosha mie Vijana maneno mingi sana utekelezaji zirooo😉😉😉😉 🤣🤭🤭🤭Unashusha sera safi kama za Ruto bro. Jimbo lazima ulichukue dadeki! 😁😁😁