Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikutakie usiku mwema wewe mwenye upole, usiye na makuu, thamani yako ipo moyoni, japo kuiona kwa macho ni ngumu, pokea salamu za usiku, ardhi na mbingu zikawe mashaidi wa pendo langu kwako, toa shaka na wasiwasi moyoni, liwake jua mchana ntakupenda, mwezi uchomoze usiku ntakujali, likizo nkipata ntakupeleka ibiza Spain, hela nkizishika ntakununulia Jamii forums, ukiota njozi uote zile mwanana za upendo, ntakuvumilia na kukuheshimu katika furaha na majonzi, usikibane kikohozi cha mapenzi, Poker nipo kukuvusha bahari na yatch ya kifahari, ntakupamba kwa vito vya thamani yaani rubi na almasi, ukihisi kuchoka ntakupeleka sayari ya mars kutembea, hizi ni salamu za usiku, zinatoka kwa huba la kasi kupitia upepo wa baharini, zikufikie habibty wangu tulizo la moyo wangu Antonnia 🤗😍
ni hatariii 😅😅😅😅😅😅😅😅 watu mnajua verse
 
Back
Top Bottom