Selfika na JF: Snap it. Show it

AjajajajajajajjajajajajajajajajajJajajaj nyieeeeeeeee!! kuna wanawake ni mmebarikiwa moabarikiwa tena walaiiii guuuu guuuuuu uwiiiiiiiiii!!
Rumaiya wewe ni hatareeeeee kila engo ujue πŸ₯°πŸ₯°πŸ₯°πŸ˜˜πŸ€©πŸ€©πŸ€©πŸ€©πŸ€©!!
Santo sana kipenzi
 
Sema Antony leo amejua kukera watu
Kama umeanzisha bifu na mtu si ujimwage [emoji31][emoji31]
Yanini kujibanza banza kama mchawi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ngoja niende instagram nikasome matusi ya waingereza [emoji31][emoji31] Lenie
Kumekuchaaaaaaah!!!
 
Tujifunze kushona midomo yetu wana selfika kila mmoja ana mdomo na anajuaaa kuongea vilevile kujifanya wajuaji mashauzi classic kumbe watu wanatuchora tu shenze typee mbwaa malaya wakutupa kabisa pumbafuuuuuu!!!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kitu jirani nihuku kujifanya tunawajua watu kuliko wajijuavyo tu ndio kunanisumbua mbilikimo niliekosa soko naishia kudandiadandia tu wanaume hovyo msengerema wakwanza mimi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa!!!!
 
AhsanteeeeeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ€—
 
Kumekuchaaaaaaah!!!
Seriously?????? Dogo apia 🀣🀣🀣🀣 Jana kuna pm nilipata id siijui, kaja na hiyo screenshot kanambia stop it..

Sasa nikabaki kushangaaa maana Antony ni refa,, na uchawi alituchawia jana Chelsea ni hatari sana..

Sijui sana mpira lkn goal la Spurs la kwanza mhhhh ndio chanzo cha fujo zote hizo


Sasa kwani watu wakahisije?

Nyie msipende kukonekti doti?? Mtajisitiress bureee
 
Duuuuh kumbe ni issues serious hivi??? Noumaaaaaaaah!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan kuna nn hapa???
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] simba imenivuruga, hata sielewi chochote.
Na mzungu wenu mcheza mieleka πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚!!
 
Duuuuuuh!!!!! Hii ni nn???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…