Tunawezana tu hana neno huyoHuyo ndio the one n only, akisema ndio imepita😂
😂😂😂Iyo kali haya waleteee waleteee 😂😂😂😂Unaitwa Waleteee - Kaimba yulee msanii mwenye minywele kichwani sijui jina lake mwenzio!! Bushi kunanizeesha Hakyanani!!🤭🤣🤣🤣😂😂😂🤣😉😉!!
So Soriii!! kesho ntatupia kama kauwaaaaaa! Sema neneJamani nilivokaa Kwa kutulia hapa Leo tuanze kesho tumalizie
Fursa hio,Yaani wewe ni chizi![]()
Nyiee nipo nje nacheka pekeangu hukuu wasijedhani nawanga mie 🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣!😂😂😂Iyo kali haya waleteee waleteee 😂😂😂😂
Tutaruka majoka au kamba😅Haijalishi nitaruka naye🤣
Watamu sanaa🤣🤣🤣
Ndio ukisimama wima hapa mbele inachanua haibani, sipendiii
Sato au sangara? Mie napenda SatoWatamu sanaa
🤣🤣Nyiee nipo nje nacheka pekeangu hukuu wasijedhani nawanga mie 🤣🤣😂🤣🤣🤣🤣!
hebu nifanye namna nihamie huko kwenu mijini walai nitazeekea hukuuu nakufa 🤭 na hamu zangu hukuuuu🤭🤭🤭🤭🤭😉😉!!
Sitokiii
Nimeupenda huu uchokozi mmwaaSato au sangara? Mie napenda Sato
Mwaaa mwee mwiii mwooo mwuuu😅Nimeupenda huu uchokozi mmwaa
Assssaaaaaaanteeeehhhh!!![]()
You're sweet like pipi mamaa
I can fight
I can kill someone
For you
Because am in danger zone (oh no)
This feeling feeling that am feeling
It's too much
I see future, life with you is so brighter
Nakupenda sana, you know that
I'll die for you
Ooh sweet heart, life with you is so sweeter
Nakupenda sana, you know that
Nakupenda sana, you know that
Yeah
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tamaa nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Ohooo
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye dunia
Oh my love
Na ndio maana tama nazizuia
Oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
In this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
Na umebarikiwa
Utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa
Utu na utulivu
Oooh
Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
(Akikesha ananiombea dua)
Aaaah
Namuona yeye
(Analia ninapougua)
Aaaah
Namuona yeye
🤣🤣🤣Nimewah balaa Asante mwaya enz hizo nikiwa kijana sahiz kilometa zimesoma
Endelea kumtazamia Bwana ewe Bad debtorToa emoji
Unashangaa sana madam 😂😂Assssaaaaaaanteeeehhhh!!
Sema Selfii ziwe kwa sana story fupi fupi !!
Na umebarikiwaa utuuuuu na utulivu!! Wauweeeehhhhh 💃💃💃💃🤸🤸🤸✌️✌️✌️✌️✌️✌️✌️!
Faaller sana🤣🤣🤣🤣Mwaaa mwee mwiii mwooo mwuuu😅
Hio picha umeweka umeifuta