Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚ nimesikia tap
Afu umeme umekata
Kwa jirani kunawaka

Ngoja nikaangalie MAin switch
Siwezi kulala na giza kubwa hivi

Mimi mpira jamani,, Wacha tu uniuweee
Jaman ni usiku tayari, kalale tu.

Jirani hafanyi kaz Tanesco?
 
Hahah huyu wa kucha ameolewa jana na mjeshi.
Dogo alinipenda balaa hadi sendoof yake nilikuwa dereva wake.
 
Hivi kwanini main switch uwa inajizima??
Hapa ni mwendo wa kutembea ki spaida mpaka niikute ilipo πŸ™ƒ

Lenie nisindikkze
Kiza hadi sijioni
🀣🀣🀣🀣 pole didi ake

Saa zingine kunakua na kitu kimesababisha shot, main switch inajizima.
Ila kama hua inajizima mara kwa mara muite fundi aicheki
 
Narudia tena Komaa kama ulikomaaaa kwenye ziwaa!
Acha kuvamia vamia watu wasiokuhusu wala kuwa effect katika life lako
Fanya yako yanayokuhusu na kila mmoja afanye yake!
Jiamini na u focus kwenye ishu zako sio kuingiza wasiohusika kwenye utumbokunuka wako msengerema type 1 wewee! Mmmxxxiiieeewww!!

Naenda kulala na sitaki kelele zako!!


Alamsiki!!
 
Daaah we kiumbe una nini?
Umekuniwa nazi?
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Nipo bushiiiiii hapa usiku ndani network Hakuna nimetoka nje napigwa na baridi ila sikomiii🀣🀣🀣
Nipate wapi rafiki nipo nimedoda tyu hapaa bushiii! Hauna mdogo wako unipasie mwana selfika Mwenzio???? πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
Leo Sitoki hapa πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡
 
Hili mbona zuri

Langu la V kabisa sijui ni U -turn ile
Kikakumbuka matege yamechepuka utadhani River rejuvenation form 4 geography hakiyananiView attachment 2324012
🀣🀣🀣
Ila umependeza😍😍 kiportable

Hapo inatakiwa ulijulie ukipiga picha za hivyo unaliset tege linakaa vzuri inaonekana kama pozi flan hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…