Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]

Yanga Forever and always!!![emoji1732][emoji1732][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732]
Khaaaaaaaah ila watoto ndo lunyasi?? Niliona uliwavesha jezi
 
Yani navokupambania shoss angu jamaniii!! Nimepambana mpaka [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzz hebu relaaaaaax, mbna hakuna tatizo?? Yaan nacheka mnooo, kwann sasa? Hebu relaaax bhana..
Leo Mr vocha anawafurahisha halo yuzazi. Uwiiiiih.
 
Ngoja nipambane na Lizzy tu maana Antonnia kanimwaga hapa hadharani sina namna chief
Pambana tu kwa Amani ya bwana mie sikuweziiiiiπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈπŸšΆπŸΌβ€β™€οΈ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzz hebu relaaaaaax, mbna hakuna tatizo?? Yaan nacheka mnooo, kwann sasa? Hebu relaaax bhana..
Leo Mr vocha anawafurahisha halo yuzazi. Uwiiiiih.
macredit yote hayo na shos angu hujaambulia hata 1 hiloo tyuu!!! Haya haina noma badae shoss angu 😘😘😘😘β™₯️
 

Wacha tufanye mpango tumtunuku Doctorate degree (PhD) ya heshima Bwana P-Funk Majani kutokana na kazi kubwa aliyoifanya kwenye huu mziki wa vijana, Bongo Flavour. Hadi sisi Wazee tunafurahia "vionjo" vyake Kwa kweli πŸ˜€

Ubunifu wa beat kwenye hii nyimbo ni wa hali Juu, ingawa na mashairi yaliyotumika pia yanahamasisha/kukumbusha umuhimu wa Vijana wa Kiume kujitafutia maisha bila kuchoka πŸ’ͺπŸ’ͺ

Guys, it's already weekend 🀸🀸🀸πŸ₯‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…