Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Sawa Mjep, kwahiyo nisioshe dishes kwanza nisubiri sio?Usitoke madam endelea kukodoa jicho tu hapa mzigo unashuka wa kutosha leo ni suala la muda tu
Sawa Mjep, kwahiyo nisioshe dishes kwanza nisubiri sio?Usitoke madam endelea kukodoa jicho tu hapa mzigo unashuka wa kutosha leo ni suala la muda tu
Mama nae Nae anaendelea vizuri kabisa Madam!Safi sana. Chukua baraka zote huko za wazazi. Vipi Bi Mkubwa?
Wee speed unayo Madam labda network ikuhujumu tu!Hakika nikikosa hata moja ndio nitakuwa na mkosi.
Kama zali vile
Huyu nimemficha huku Tandahimba hadi likizo iishe kimeeleweka Carrasco putin ameshamaliza kazi yakeMwenye shepu ni wewe kipenzi. Mtoto Mashallah.
Likizo wapi dear, hamna hata cha likizo.
Upo poa lakini?
Tulia wewe, ngoja kipigo bdae🤣Minchigan hii.![]()
Lect Hivi leo mechi ni saaa ngapi??Tulia wewe, ngoja kipigo bdae🤣
Sawa Mpenzi nafurahi kusikia wanaendelea vizuri. Mimi bado nipo na vijana hawa ambao hawafungagi. Mpaka tarehe 19 ndio tunafunga. Nipate hata kasafari na mimi nikawajulie hali.Mama nae Nae anaendelea vizuri kabisa Madam!
Yeah nipate baraka make nina muda kidogo nilikua sijamuona mzee!!
Saa 1 usikuLect Hivi leo mechi ni saaa ngapi??
Sasa hivi haijanihujumu, nilipanda juu ya haka kamti.Wee speed unayo Madam labda network ikuhujumu tu!
Wee nyie candidates class mmewabakiza?? Mimi nina candidate class form 4 ila huwa sibakigi hata iweje pia Nashukuru nina likizo june mwaka huu si unajua ilisogezwa august!!Sawa Mpenzi nafurahi kusikia wanaendelea vizuri. Mimi bado nipo na vijana hawa ambao hawafungagi. Mpaka tarehe 19 ndio tunafunga. Nipate hata kasafari na mimi nikawajulie hali.
🤣🤣🤣😂😂😂😂😂!! Ulivo mtundu Madam najua huwezi kuanguka🤣🤣🤭🤭🤭Sasa hivi haijanihujumu, nilipanda juu ya haka kamti.
Lol kumbe!! Santo sana lect!!Saa 1 usiku
Wee mtu mie nasubir vocha bhana, hebu kuwa serious bas.