Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana utaingiaje kwa kubip hivo ilhali bosi wetu selfika yupoo?? Mjep babaetu selfika Do the needful pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
Hata Mie ntajipigapiga tupate bando bana sema sikuhizi niko bushiiii kupata vocha ni sheeeaaaaaahh!!
Boss lady ukae kwa kutulia mimi nishakabidhiwa wewe tayari ni mke wangu halali kaka mkubwa Carrasco putin ameshamaliza mambo nasubiri kumalizia mahali tuu😅
 
Screenshot_20220810-125715_Instagram.jpg
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!!🤣🤣
 
Tena nna uhitaji wa vocha ya 10k, wee shougaaa 5k na Mr vocha 5k.

Nasubiri, kwa kuziweka mnapajua
No discussion! Limepita!! Sema sasa hii itabidi nitoe cash yangu kwani ntaua mtajiiiii nimeambiwa nakabidhiwa kibanda cha vocha Mie ado ado ntatoboa tu!!🤭🤭🤭🤣!
 
Yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️🏃🏼‍♀️!!🤣🤣
Get up Bosslady and be ur own hero😊
 
Back
Top Bottom