Hebu amkeni jmn mtakosa vochaHabari za asubuhi
Aunt selfika bado wamesinzia
Poa mkuuNjoo biafra mdogo wangu
Kaa kwa kutulia tumeambiwa hadi tarehe 12 mzigo utakua umeingia sitoki Dar hadi niinyake jezi kali mlongo




jezi naskia leo zinaingia, afu kesho zinasambazwa mikoani.Haya, umeambiwa unapewa kibanda cha vocha, nisababishie hapo vocha zenyewe.No discussion! Limepita!! Sema sasa hii itabidi nitoe cash yangu kwani ntaua mtajiiiii nimeambiwa nakabidhiwa kibanda cha vocha Mie ado ado ntatoboa tu!!!
Au itakua Kuna mtu wa Karibu alisongosha bila ye kujua!!





hata hajui sasa hapo.Usiwaze wewe tena!!Haya, umeambiwa unapewa kibanda cha vocha, nisababishie hapo vocha zenyewe.

Si nimekuomba vocha wee?? Hujaona au???Mselfike
Mselfike
Ndo nasubiri hapa.Usiwaze wewe tena!!
Aisee....Wengi wamepitia maisha hayo.Mwanzo wa safari ya maisha ya kujitegemea.
N:B Nakumbuka niliwahi kupanga chumba kati ya wapangaji wote Mimi ndio nilikuwa choka mbaya sikuwa kitu chochote cha umeme zaidi ya karadio kadogo mpaka bill ya umeme nilikuwa napunguziwa na wapangaji wenzangu.
C&PView attachment 2319920
😄😄 Yelewiiii kibanda kizima. Shostie Antonnia umesikia lakini Tambo hizo?. Ukipata kibanda kizima unafikiri tutapata tabu Tena za vocha 😂😂. Embu mfikirie fikirie kidg.Ebu nisaidie kumshawishi madam akae kwenye mstari anaogopa nini sasa? 😅
Wakati nina mpango wa kumkabidhi kibanda cha vocha😅
Huyu sasa ni mahondaw ninayemjua!Mie nataka mtaji mkubwa wa milions kadhaa bana!! vocha faida yake ndogo sana!!
Leo sitaki kuongea sana poker nimevaa mkanda wa kupunguza tumbooo hapa sipumui vizurii sicheki vizuriii sikohoi vizurii sili chakula kingi kidogo tu eti nashibaa unanibana hatariii naumiaaaa uwiiiiiiiiiiiHuyu sasa ni mahondaw ninayemjua!

! 






cocastic shoss angu haya mambo zenu 



