Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

20220809_191927.jpg
 
Akiliii, mwili, baby
Hasira zangu navituliza
Ukiongea nasikiliza
Yote sababu ya upendo
Pilipili baby
Vindimu, chumvi ya kunyunyiza
Yani uroda kupitiliza
Nimeumaliza mwendooo.

Kiukweli, napendwa, nachanganywa na haya maraha
Shida ni ,nimekolea penzini
Shida ni baby uko moyoni, wewe

Nakupenda we
Nakutaka we
Kwako sijiwezi
Ooh my love.
Mpenzi we
Roho yangu we
Kwako sijiwezi
Ooh my love.
. .....
 
Back
Top Bottom