Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

IMG_20220809_084712_284.jpg

Mambo ya Single button na Uzee huu kazi kweli kweli🙆

Anyways, Hello Tuesday 🥂
 
Mjep
Boss km Mr vocha. Msimu umeanza wa kandanda naomba uninunulie jezi ya Man City na Simba.

Antonnia
Shougaaaa angu huyu jamaa ni bonge la mtu, defence km ukuta, Namuonea huruma Onyango atakaa bench had ajute.

Beki km beki, Inonga kapata pacha wake halisi.



UNSTOPPABLE!!!!!!!!!!!!!!! View attachment 2318884
Niko kwa Vunjabei hapa Sinza nambie uzi upi unapenda nikuchukulie😜
 
Back
Top Bottom