Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Omalicha
IMG_20220807_145027_130.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
@mkwepu jr nimemnyooshea mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] aisee nitakupa mwanangu wa Kike umuoe bure tu Jamaa kama robot
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha ajabu ni handsome bwoiiiiii.
Yuko mkimya na mpoleeee, watu km yeye kwenye mzagamuo wanatamani kutoa kizazi.

Ni show big big. Uwiiiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jezi kaliii kinoumaaaaah. Ile nyeupee nikiivaa hadi lecture room nakaa nayo. Weuweeeeeeee!!!

Majengo ya kale jana yamewabomokea, mkafanye ukarabati huko.

Byuti byuti.
Unachagua nyeupe eeeh vaa rangi rangi za redbull 🤣🤣🤣
 
Au samaki samaki, maraa bus la happy nation, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila watu khaaaah.

Jezi zote kaliiiiii, tatizo mavumba tyuuh, yakiwepo mbna nabeba zote.
Jezi Kali jmn wametutendea haki mashabiki wa Chelsea 😄Ile blue
 
Wakuu nataka nianze safari ya kusoma comments zote za huu uzi na kuzi-reply. Maombi yenu tafadhali
 
Back
Top Bottom