Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,485
Tangu huu uzi umeanza leo ndio umeongea point. Nitumie kalaki tu.Basi rudia lile jamani,, hivi tukutumie sh ngapi ili urudi kule??
Ni kweli tuna hasira."Wanakasirika",, najua umeshasahau hata tunaongelea nini![]()
Wanaume walooa wanyakyusa wanatoa shuhuda wanavyokula mabanzi.
Wanaume walooa wanyakyusa wanatoa shuhuda wanavyokula mabanzi.
Hata sijisumbui kuangalia maana najua hamna kitu







Kichwa chako!
Mmhh usiwasikilize hao,, nenda Kyela ukajionee mwenyewe namna wanawake walivyo wanyenyekevu..




Ndio.
Haha twakupenda piaa
We yako iko wapi?Yaani
Mnaongea saaana
Tupieni basii
Hii umeigugo wapiKaribuni cha usiku halafu baadae tule cha usiku View attachment 1255842



Tangu huu uzi umeanza leo ndio umeongea point. Nitumie kalaki tu.
Ni kweli tuna hasira.
Mmmmmmh!!!Laki tu?? Daah mie nikajua labda million,, usijali hiyo umepata au ukitaka zaidi pia niambie..anything for you![]()


