Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nyie nyie nyieBaada ya tuta baby koleza gear
Yaani tamtam kama pipi
Nakuita sweety, ah roterote
Fundi kwenye kwichikwichi
Shepu vipi? kama lote
Vicheche nishadelete
Sitaki cheat, watoketoke
Kwenye moyo nimekupa seat
We ndIo dereva, asa kukuacha ooh oooh!
Naanzaje? Ooh mimi
Naanzaje? Aah mimi apa
Naanzaje? Mwenzako ooh kukuacha siwezi
Naanzaje? Ooh mimi
Naanzaje? Aah mi jamani
Naanzaje? kukuacha ooh, kabisa siwezi
Hadithi kuja hadithi njoo, utamu kolea
Mwezenu huba liko kwa roho, limeninogea
Vishanshuda poleni ooh, mnalo wambea
Mtaja kuugua makwasha koo, kwa kutuongelea
Tena mie kwake ndio dakitari, nampa tiba halali
Wanaitaga sukari, alamba aam!
Na jana nilifunga nikasali, nikamuomba Jalali
Atuepushe madhohari, ya wanadam
[emoji445][emoji445][emoji445][emoji450][emoji448][emoji443][emoji443][emoji443]
Kazi kwako mdogo wangu leo hutoboi nakwambia[emoji16][emoji16][emoji16]
Nikajua umeshusha lijisong lako la mahaba na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji445]Kati vita yesu mwamba wanguuu
Katiii huzuni yesu ni mfarijiiii
[emoji445] Aliingiia moyoni mwangu kanipa utulivuuuu[emoji445][emoji445]
Kaniambia ewe mwanangu usiliee tenaaa
Ninajua shida zako mimi nitazitatuaaaaaa[emoji443]
Biiiilllaaaa yesuuuuuu Mimi ni mtu bureee[emoji443]
One and only Jesus!
[emoji120][emoji120][emoji120]
πππππππππππππJehovaaaaa[emoji119][emoji119]
Yaani ninavyozidi kukuombea, mbona ndiyo kama unazidi kuchachuka nkamu?[emoji1787][emoji1787][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Mama mcgungaji huyo Saint Anne ndo kaniponza mimi sikua najua chochote
Nisamehe mama angu[emoji2309]
Here I am.Kesho ni Leo Heaven Sent eagerly awaiting!
Ilibidi nimwite bwana yesu aje kuingilia kati sio kwa kuchachuka kwa watu huku selfika mama pastaπππ!!Nikajua umeshusha lijisong lako la mahaba na wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakufundishaaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!!! Nifundishe kuimba namie niwe naimbia watu shosssss!!!
BadooooWaamemaliza kuimba au bado??
Tupia picha we mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakufundishaaa!!!
Mama mchungaji usikate tamaa ni vile nimezingirwa na watenda dhambi, shetani ansninyemelea kwa kasi ya 5gπYaani ninavyozidi kukuombea, mbona ndiyo kama unazidi kuchachuka nkamu?[emoji1787][emoji1787]
Mwite na Carrasco putin aongezee kukemeaMama mchungaji usikate tamaa ni vile nimezingirwa na watenda dhambi, shetani ansninyemelea kwa kasi ya 5gπ
[emoji23][emoji23][emoji23] anza yako kwani.Tupia picha we mtoto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nani huyooo.Mama mchungaji usikate tamaa ni vile nimezingirwa na watenda dhambi, shetani ansninyemelea kwa kasi ya 5g[emoji23]
Huyu jamaa alinambia nisubiri dada yake aachike yaani hapa niko nasubiri nakuomba dua sijui Disemba itafika kabla dada mtu hajaachika??Mwite na Carrasco putin aongezee kukemea
Pepo trokaaaaaaa!!ππ
Inaonekana selfika wameshukiwa na wingu zito la Mahaba. Sio kwa mijisong hiiIlibidi nimwite bwana yesu aje kuingilia kati sio kwa kuchachuka kwa watu huku selfika mama pastaπππ!!
Titawapoteza watu walai mahaba hayajawai kumuacha mtu Salama mama pasta!
Bado tunawapenda hatutaki wapoteee kwakweri!!ππ€π€!!
Ngoja niendelee kukuombea nkamu, ntafanyaje sasa?Mama mchungaji usikate tamaa ni vile nimezingirwa na watenda dhambi, shetani ansninyemelea kwa kasi ya 5gπ
AminaππππNgoja niendelee kukuombea nkamu, ntafanyaje sasa?
Wamechachuka vibaya!!Inaonekana selfika wameshukiwa na wingu zito la Mahaba. Sio kwa mijisong hii
Weuweeeeeeeeeeeeh!!!! Mtoto trakooooooooooh.Mi naendelea kuselfika zangu shoss mahaba nawaachia Wenyewe!!!
Selfikaaaaaa
Forever and always!![emoji3577][emoji3577]