Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
ThobotoooNizeeke mara ngapi mie!!??Nishajizeekea kitambo mamdo!!
Hujafikia hata level
Ya kuwa Li shangazi
Bado unawaka
Wewe ni Li zuri
ThobotoooNizeeke mara ngapi mie!!??Nishajizeekea kitambo mamdo!!
Mwehh!! Nijazeee tyu Wige wee nijazee!!Thobotooo
Hujafikia hata level
Ya kuwa Li shangazi
Bado unawaka
Wewe ni Li zuri
Ooh!!kwa hiyo nakojoa pazuri mkuu?Mremboooooooh!!! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Mtoto mzureeee!!!
Exceptional Love
setakeee!! Namsubiri mrashia Wangu Sitaki matatizo na dunia mie!!Zingatia ushauri
Nitakunongoneza mlongo wacha nipambane na Saint Anne kwanza naona kaja kwa kasi hapa😅😅😅😅Hebu nambie mlongo umeni mind vipiio tena??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu ninong'onezeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaozea jela mdogo wanguMkuu kwema
Hii mali nimeielewa hatari
Shusheni verse, watu tuenjoy kusomaaa!!!Moyo wangu tembea na yule
Na yuleee
Ndio nampendaga
Macho yangu mtazame yulee
Mtazame yulee
Namwamini sana.
Ah ah ahhhh
Kuna muda
Namuomba Mola angekuleta mapema
Ila bado siyo mbaya
Wewe ndiye unayejua maumivu yanguu
Siko radhi unitoke machonii
Nitakuweka moyoniiiii.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji91].
........
Haya shusha verse nikulipe
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Picha ya HB iko wapi???cocastic na Wigelekelo mmeniamsha na notifications zenu mjueee!!
Piga kelele kwa cuzo akeee[emoji108][emoji91]Ntakupa vidole vyangu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Selfika Mmenishinda tabia🙌🙌🙌![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes unamwaga patamuuu mkuu.Ooh!!kwa hiyo nakojoa pazuri mkuu?
Kwema lakini coca
Hb Ananikwepaaa!!Picha ya HB iko wapi???
Weuweeeeeeeeeeeeeh!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2]Shusheni verse, watu tuenjoy kusomaaa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tafadhari asikutanie, hebu afanye nimuone kabla hajazamia kijijini kwao huko. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hb Ananikwepaaa!!
Nitaozea jela ya mapenzi/mahaba mkuu[emoji3]Utaozea jela mdogo wangu
Una cuzo wa kigoma weuweeee[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23]Weuweeeeeeeeeeeeeh!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhola nhoi IzunayeMhala bhageshi