Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,944
- 177,160
Weeeh kichwa kilivojaaa mambo kibao naanzaje kuchafua mashuka na kuweweseka Mie!! Nikiegesha tu kichwa nashtuliwa na alarm kuangalia ohoooooo kushakucha!!Usifanye choyo mamiii usiku unalala unaweweseka unachafua mashuka wakat Mjep na Ntiluseswa wapo kwa ajili yako mrembo
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
















