Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😂😂😂😂 wajukuu wake ni vyombo and threat at once


Majanga which and since yesterday I got delivery tick!!
Nimewaambia hao wanaotaka kuwachumbia, kuwa Mahari na Posa zimepanda. Kwahiyo wajipange 🤪🤪
 
Habari za siku tele Mjukuu mzuri, have real missed you 😘

Mimi na Bibi yenu tumewakumbuka sana 🙈
Babu kipenzi bora umekuja maana nilikua nakumiss adi naumwa na simu yako haipatikani sijui ulisahau kucharge.

Me niko poa kabisa babu, nawamiss pia.
 
F4E03593-FCC8-4D1C-A8AB-70F0D49B3FEE.jpeg
 
Marahaba Mjukuu

Babu yako macho yamepungua uwezo wa kuona, sitaweza kusoma talakimu zote 10+ za vocha, hivyo nafikiria kumpa Dada yako yule wa Masaki akuletee cash ukanunue mwenyewe 🤪🙊🏃🏃🏃🏃🏃
Mpe mjukuu wako akusomee bana acha siasa babuu!!
 
Back
Top Bottom