Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,450
- 203,040
Nimerudi kucheka 🤣🤣🤣Ningeselfika shida I’m divorced now with two lonely kids aunt yangu🥲
Emu selfika basi you lonely woman 😂😂😂
Nimerudi kucheka 🤣🤣🤣Ningeselfika shida I’m divorced now with two lonely kids aunt yangu🥲
I knw that!This is just chitchat don't take it siriazoooooo!!
Babu yuko wapi jamani, mwenyewe nimemmiss balaaGrahams
Babu mzuri
Babu wa mchongo kwa Wigelekelo
Babu kipenzi wa Lenie
Babu you’re missed 😘😘
And Bibi as well
Greetings to all of you ✌️
Atakuja… nilikuwa nje nikasikia harufu ya kiko yake…Babu yuko wapi jamani, mwenyewe nimemmiss balaa
Didi ake njoo tunywe chai na karanga
Salama jirani, baridi sana kwetu..hujambomyoyambendi jirani mpendwa gud mornie 👋
Poleni… huku lipo kiasi na kijua cha mchongo’ kinawaka na kuzimaSalama jirani, baridi sana kwetu..hujambo
Nakuja huko ..Poleni… huku lipo kiasi na kijua cha mchongo’ kinawaka na kuzima
Aje nimpe shikamoo yakeAtakuja… nilikuwa nje nikasikia harufu ya kiko yake…
Atakuwa tu around
Chai na karanga? Me sio mshua wewe 🤣🤣 hapa ni chai chapati 3
Karibu jirani 🤗Nakuja huko ..
Jirani nakusalimiaNakuja huko ..
Habari za weweJirani nakusalimia
Sijambo jirani sijui kwako...Jirani nakusalimia
Habari za weweKaribu jirani![]()
Hahahaa na ni mhandsome hasa, bibi alijua kuchagua.
Njema kabisa Alex, umeamkaje hukoHabari za wewe
Uliwahi kuona akaunti yanguMorning to you darling my sweet sixteen my baby Madame Antonnia
Morning to you my humble soulmate sophy27
Morning wengine wote msio na hela! myoyambendi Wigelekelo Ntiluseswa Carrasco putin Alexprosper cocastic Surbi Saint Anne Lizzy Kelsea Alayna Heaven Sent Lovelovie
Morning kwa matajiri wote wa selfika Mjep Poker Mshana Jr
Kumekuchwa narudia tena kumekuchwa!


