AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,269
Uku SalamaNjema kabisa Alex, umeamkaje huko
Uku SalamaNjema kabisa Alex, umeamkaje huko
😂😂😂😂😂😂 wajukuu wake ni vyombo and threat at onceHahahaa na ni mhandsome hasa, bibi alijua kuchagua.
Ndio maana wajukuu tumetoka pisi kali
Wasapu kuna majanga, niko offline
Huku kwema kabisa, jua kama saa 6 mchanaSijambo jirani sijui kwako...
Salamu iambatane na selfie yako AlexHabari za wewe
Naunga mkono hojaSalamu iambatane na selfie yako Alex
Eti eeSalamu iambatane na selfie yako Alex
VemaUku Salama
Eti eeNaunga mkono hoja
Ndiyo mkuuEti ee
Subiri sasaNdiyo mkuu
Babu lako la mchongoGrahams
Babu mzuri
Babu wa mchongo kwa Wigelekelo
Babu kipenzi wa Lenie
Babu you’re missed![]()
And Bibi as well
Greetings to all of you![]()

🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂 wajukuu wake ni vyombo and threat at once
Majanga which and since yesterday I got delivery tick!!
NdiwoooooooooooooEti ee
Hurry up run to chemba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sio wa mchezo mchezo
Yaani didi ake acha tu, nitakwambia chemba
Babu yangu sio wa mchongo 😂Babu lako la mchongo
Linaonekana kila mwisho wa mwezi![]()
Aisee....safi.Babu yangu sio wa mchongo 😂
Mwisho wa mwezi babu anakuja kuchukua mafao yake, sasa kinakushangaza nini?
Yule ni babu mzee 😂
😂 jirani jamani na hizo aisee zakoAisee....safi.
Zisikutishe jirani....😂 jirani jamani na hizo aisee zako
Aisee...Mradi uko na babu zisikutishe..😂 jirani jamani na hizo aisee zako
Pichani ni mikoko yenye afya katika eneo linalosimamiwa Bagamoyo, na isiyo na afya katika kijiji cha Mdimni, Mkuranga nchini #Tanzania. Mikoko hii imeathiriwa na shughuli za wanadamu na mabadiliko ya tabianchi, na kusogea kwa maji ya bahari.