Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Watoto wahuni wameniwahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji81] wamekuwahi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Watoto wahuni wameniwahi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji81] wamekuwahi
Kama yuko huko usimsumbue utamwambia akitoka atanikuta hukuu 😉!
Sijatajwa ila kiherehere changu baada ya kuiona picha nzuri...
Hahahahaaaa!! Kumbe!!🤔🤔🤔😉😉!!Fanya mapenzi bila condom ndani ya wiki mapele yasipotoka niite mbwa nimekaa pale
[emoji117][emoji117][emoji117]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu mkorofiii.[emoji23][emoji23]
Unapenda kulelewa wee kijana, chunga sana utaishia pabaya.Nyie mnaoishi kwenu amkeni bora mm naishi ukweni [emoji851][emoji851]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sijatajwa ila kiherehere changu baada ya kuiona picha nzuri...
Shangazi yako hapa nyumbani aliyapitia hayo madhira, kilicho msaidia ni mafuta ya nazi "Halisi",yanauzwa 1,300 hadi 2,000.
Hakuchanganya na kitu chochote na bado ndilo limekuwa chaguo lake mpaka sasa.
Simba nguvu 1Yuko kwenye nyuzi za mipira cunajua alivo simba damu damu! [emoji23][emoji23] Nawewe inabidi uanze kufatilia mpira!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKama yuko huko usimsumbue utamwambia akitoka atanikuta hukuu [emoji6]!
🤣🤣Ana shamrashamra za kuondoka likizo hakamatikiii!! kuna Huyu mlinziii vipi nikupasiee🤣🤣🤣🤣🤭🤭!!Shooougaaah namtaka HB wangu, leo sikubaliiiii.
Hebu mleteeeee,
Komaa na cuzoo wako mie simtakiii😂😂😂🤣!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Lol hongera sanaHachanganyi na chochote, akioga anapaka tu kama kawaida. Picha yake kabla alikuwa anatisha sana, hangaika sana kwenye tiba ya ngozi.
Sasa ameponaView attachment 2304373
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaaaaah usinitafute maneno, tafadhari!!![emoji1787][emoji1787]Ana shamrashamra za kuondoka likizo hakamatikiii!! kuna Huyu mlinziii vipi nikupasiee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960]!!
Ukivumilia majibu ni haraka sana japo utafifia kidooogo kurudi kwenye ngozi ya kawaida.Lol hongera sana
mzureeeeeeee[emoji8][emoji8]!! Wifey material [emoji108][emoji108]
Asante mkuu ntajaribu kisha ntaleta mrejesho!
Barikiwa sana
Afu kibongeee, ila mke wake mzuriiii, cheupe dawaa.Lol hongera sana
mzureeeeeeee[emoji8][emoji8]!! Wifey material [emoji108][emoji108]
Asante mkuu ntajaribu kisha ntaleta mrejesho!
Barikiwa sana