Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,217
Ndo anatoa macho Yake muda huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Saint anne
Ndo anatoa macho Yake muda huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc Saint anne
Na ndugu yake hawachekani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndo anatoa macho Yake muda huu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si unaona comments anazojibu?
Za mwaka juzi!!![emoji134][emoji134][emoji134]
Ifute.
Nataka nicheke mm[emoji1787]
Leo analikana
Mmmh...Hivi bongo kuna kabila wanawake wanatoa kichapo kwa wanaume?
We fanya kazi mama maana asiefanya kazi na asile. Sie ndio muda wetu wa soga huu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haki nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishangaa,, tatizo nacomment huku kuna kazi nafanya ndiyo maana napitwa..
Sasa naona utakuwa umeridhika mama.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah
Oohh kama hii ya kwetu 'esijiara'??
Hembu futa ashangae kidogo
Maana wanyakyusa wanazubaaga Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaah!! Hawa ndugu zako wameniharibu maana nilikuwa nikishusha wananishangaa na kuniuliza "hivi mwalimu wewe mtu wa wapi?" Nikaona isiwe taabu, imebaki nalishushaga home tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua ilianza atoto, nikabadili to espy then nikarudia atoto tena. Sijawahi kuona mabadiliko ujue[emoji134][emoji134]
Wanuakyusa wanaongea na wanapiga[emoji134][emoji134][emoji134]
Nataka nione macho yanavyomtoka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ifute ashangazwe[emoji1787][emoji1787]