Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah niliona ulianza atoto then ukaja espy lakini kuna uzi mmoja hivi wakati unajiita espy kuna kitu uliongea nikajuaga wewe ni mpole ila kumbe nilivyozidi kusoma zaidi nikaona mmhh hamna mpole hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unajua ilianza atoto, nikabadili to espy then nikarudia atoto tena. Sijawahi kuona mabadiliko ujue[emoji134][emoji134]
 
Yeah niliona ulianza atoto then ukaja espy lakini kuna uzi mmoja hivi wakati unajiita espy kuna kitu uliongea nikajuaga wewe ni mpole ila kumbe nilivyozidi kusoma zaidi nikaona mmhh hamna mpole hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mimi ni mpole, kama unabisha ni wivu tu.
 
Oohh ninavyopenda kupuyanga usije ukanifanya nitamani kupita na huko
Inawekwa sasahivi.
SI walichagua mbunge anayelala tu bungeni...
Watu wa ileje aliyewaroga alishakufa[emoji1787][emoji1787].

Kule boda ile barabara inatokea undali kwenyewe Sasa.
Kuna ileje ya ulambya na ileje ya undali.
Japo zote nimewahi ishi kwa muda.
 
Back
Top Bottom