Boss lady huyu cocastic hafai nakwambia😁😁😁🤣🤣🤣😂😂😂😂!!
Boss lady huyu cocastic hafai nakwambia😁😁😁🤣🤣🤣😂😂😂😂!!
Majukumu tu nkamu gwangu.Mama mchungaji kweli nimekumiss
Naomba japo ka selfie
Unapotea sanaaa
Amen. Ubarikiwe piaAiseeh usiku mwema kwenu wote mabao bado na mnaendelea kuwa active kwenye uzi huu, Mungu awabariki kwa kila namna.
Hongera kwa majukumu,Majukumu tu nkamu gwangu.
Kesho ntaselfika, nitakutag[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Make sure unareload browser chap chap, napita fasta Sana,
Kesho itabidi unipe tena summary ya yaliyojiri wakati sipo[emoji1787][emoji1787]Hongera kwa majukumu,
Na mimi jukumu la kuwajenga na kuwasimamia vijana kama ulivyoniachia hapa naendelea nalo vzr ila huyu cocastic wako ndo amenishinda tabia
Amen nawe pia barikiwa sana!Aiseeh usiku mwema kwenu wote ambao bado na mnaendelea kuwa active kwenye uzi huu, Mungu awabariki kwa kila namna.
Kwenda zako 36?? Maliza uzeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha nisitengwe bwana, ukiniona utahisi ni 20's kabisa kwahiyo bado nimo[emoji23][emoji23].
Nshamuachia siku akijisikia kunipa, atanipaKhaaa. Muache aishone kwa nafasi yake sasa, atakupa siku akijisikia kuimalizia
Aunt si umahidi kuniombea nitoke huku??🤣🤣🤣🤣Kesho itabidi unipe tena summary ya yaliyojiri wakati sipo[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishasahau tena. Tuendelee na maombi tu[emoji1787][emoji1787]Aunt si umahidi kuniombea nitoke huku??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wee Mr vocha, hebu nipe bia kwani nishtue koo. Hapa.Hongera kwa majukumu,
Na mimi jukumu la kuwajenga na kuwasimamia vijana kama ulivyoniachia hapa naendelea nalo vzr ila huyu cocastic wako ndo amenishinda tabia
Namie naaombeni nizimue msintanieee!!Wee Mr vocha, hebu nipe bia kwani nishtue koo. Hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa najiandaa kulala ila hii comment imenirudisha ili nikujibu, maana wewe ni kashenzi sana.Kwenda zako 36?? Maliza uzeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]