Mkuu nakwambia afya ni muhimu sana kuliko ndoa yenyewe..... Me nmeishi hospital kumuuguza aunt yangu hii ni week ya tatu... Nmejua afya ni muhimu sana kuliko chochote kile
Mkuu nakwambia afya ni muhimu sana kuliko ndoa yenyewe..... Me nmeishi hospital kumuuguza aunt yangu hii ni week ya tatu... Nmejua afya ni muhimu sana kuliko chochote kile
Ehh bwana yesu kristo ushiriki ubinadamu wetu kwa hiari yako upate kumponya mgonjwa na kumuokoa, umjalie afya ya mwili na roho mfariji kwa Kinga yako mpe nafuu kwa nguvu yako
Msaidie atumaini kuokoka kwa njia ya mateso kama ulivyotufundisha kutumaini hapo ulipoteswa kwa ajili yako
cognition bestttttyyy ....mpaka waleo nasubiria selfii yako jamani nifanyie wepesi best!!!
Afu zile avatar nimepata moja tu zile za pensi za kitom boy sijazipata Kabisaaa
Hio hapo unaikumbuka????