AlexProsper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,408
- 6,269
Sanaa
Usiombe upigwe lift na mwenye dungu 😄😄😄 ujue hio ni mpaka shimoozamani raha sana, na ile michezo ya hela mnachimba kashimo .. ukiwa na mbawa unazipiga 😀😀😀
Vyote najua jirani..Lenie atakuwa refa,, jirani unaweza kuwa na shabaha, ila hujui kulenga 😁
Mimi nitakufungaVyote najua jirani..
Sijambo, niaje?Depal Alexprosper mko poa
That's good



Mimi nilikuwaga nacheza ule wa vimfuniko vya sodaSanaa
Ni gud bibie... Badae utupie sawa ma anguSijambo, niaje?
Dungu aka chuma 😀😀😀
Mie nko poa kabisa namshukuru Mungu
HatariUsiombe upigwe lift na mwenye dunguujue hio ni mpaka shimoo


Thanks God blessingMie nko poa kabisa namshukuru Mungu


