Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa mama Kagoma.
Screenshot_20220723-183147_1.jpg
 
Nagwendeleaga chiza bhageshi japo bado vidole havijakaa sawa navifanyia mazoezi

Eng'wasi bhageshi
Ng'wagลซkลซ nkoyi....

Seba Alฤซho. ลชgลซpฤซla chiza dลซhลซ [emoji1545][emoji1545]

Hako kakifaa hata mimi ninako na nilipewa na daktari. Pamoja na kazi zinginezo, kanasaidia pia kupunguza stress.

Dwikale na mhola nkoyi.

20220723_121642%5B1%5D.jpg
 
Nilikuwa nazipasua na dungu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ pwaaa nilikuwa nachugua zile golori za chuma ambazo zinatumika kwenye treni
Kwenye mchezo wa gololi wenye dungu anakaaa pembeni ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰
Nilikuwa naongea na mshua kwa simu ndogo huku naperuzi hii page,, nimekutana na neno โ€˜dunguโ€™
Nikajikuta cheko limeniponyoka, mshua akauliza vipi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Back
Top Bottom