Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana chezea mimba aisee
Kisa alimkanyaga shela lake .. anavyolalamika sasa nilikanyagwa sana ndo maana ikabidi nimuangalie hivyo .

Yeah nimesikia kuhusu hiyo voice note aisee wasanii hawa balaa ..chuki kwenda mbele
Watu hawapendani
Yaan hawapendani balaa, ila Nandy ndo Tabia yake, wakati ule alimtuma Giggy amchafue Vanessa. Na kweli akamchafua wee, baada ya wao kukwaruzana giggy akalimwaga nje. Kuwa alitumwa na Nandy

Toka paleeeee Nandy simpendiiiii.
 
Kha kumbe Hadi vannesa jamani huyo dada ... Ana roho hiyo kumbe

Nampenda Vee ana vibe si mchezo
Wasanii hawa kila siku bifu tu .
 
Back
Top Bottom