Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,221
Nimekumis mamy nibariki jioni yangu pullliiiiiiizzzz!!
Nimekumis mamy nibariki jioni yangu pullliiiiiiizzzz!!
Asanteeeeehhhhhhhh 😘!!Lizuriiiiiiiiii! (In Wige's voice)![]()
Niko poa Bosi Ledi...Miss you sana msukuma!!
Umekua kimya sana sikuhizi jamani!!
I hope everything is well with you!!![]()

Weeeeehh kumbe!! Bora kama una Amani na uko Salama msukuma !! Karibu sana!Niko poa Bosi Ledi...
Ni kama wewe tu. Kuna Misri fulani hivi ilibidi niikimbie. Niko kwenye ki-Canaan fulani hivi na kusema kweli kuna amani na furaha huku kwenye nchi ya ahadi...
Tumshukuru Mungu kwa yote Bosi Ledi![]()
😂😂😂LoohLips nzuri shingo tamu ya kuweka love bites mpka nitetemeke miguu ya kichaga
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Bado upo Bosi Ledi?Weeeeehh kumbe!! Bora kama una Amani na uko Salama msukuma !! Karibu sana!
Kuna wakati inabidi kuuvua umisri tu mkuu hakuna namna!!!
Ipo damuni wanasema wenyeweWatakuja kubisha!!!![]()
Ndio msukuma Nipo sana tu ...vipi unataka unibless msukuma???🤔🤔🤔😘😘Bado upo Bosi Ledi?
Hapana. Nina kashida kengine tu...Ndio msukuma Nipo sana tu ...vipi unataka unibless msukuma???
Haya weka mambo nasubiria hapa![]()


Kwa heshima kabisa, unaweza kunifungulia PM japo kwa dakika moja hivi? Kuna kaishu fulani hivi ka kawaida pengine waweza nisaidia. Kama hutojali lakini Bosi Ledi 


Usiwaze kabisa msukuma karibu sana pitiliza utanikuta ndani🤣🤣😂😂😂!!Hapana. Nina kashida kengine tu...
Haka hapa chini...
Kwa heshima kabisa, unaweza kunifungulia PM japo kwa dakika moja hivi? Kuna kaishu fulani hivi ka kawaida pengine waweza nisaidia. Kama hutojali lakini Bosi Ledi
Nitakubless usiku ile mida yetu ile japo siku hizi unalala mapema sana![]()
Thenki yu Bosi LediUsiwaze kabisa msukuma karibu sana pitiliza utanikuta ndani!!



Usiwaze You're welcome msukuma!!Thenki yu Bosi Ledi![]()
Nmekumis pia darling.... Kaa hapo hapo nakubariki darlingNimekumis mamy nibariki jioni yangu pullliiiiiiizzzz!!
🤣🤣Me na my babe ni until death do us apart…
Ukimteka niteke na mm
🤣🤣Mrefu _hasheem thabit
Mfupi _ joti
Wastani _ Melo
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ewaaaa hiii imekaa kisukuma kabisa 😘😘