Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hizi nizofumua Nimetoka ku crochet nataka isio kompliketed san ya kupumzisha kichwa kipumue kwanza!!
Ooh kweli

Suka mabutu yanaweza kukusaidia kiana
Huwa hayachoshi pia unajiachia nayo

1658494627211.jpg
 
Titration au ipi?
Aliwahi kusumbuka mwalimu wa chemistry adv mpaka aliamua kututajia volume. Jamaa alivuja jasho akati nje kuna ukungu wa baridi.
No juzi ilikua mock Form 4 tu!! Lab technician kuna vitu alichanganya kwenye kuandaa pretest hadi kutuita tukasaidiana ndio kukubali!!
ilikua ni kutest volumetric Analysis na salt sampo!!
 
Back
Top Bottom