cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,173
Hela anayo na sio ya mawazo
Swali Je utampa nini![]()



ndo umekazania khaaaah. Ntampa kichwa chako hicho.
Hela anayo na sio ya mawazo
Swali Je utampa nini![]()



ndo umekazania khaaaah. Sasa mimi ndio niliepingando umekazania khaaaah.
Ntampa kichwa chako hicho.



Marahaba mjukuu wangu.Shikamoo Shimba ya Buyenze

Chief salama?Marahaba mdogo wangu.
Hujambo?
Uwe na siku njema 🙏🏿
Hi bossHi everybody
Ni mzuriSt Anne wewe ni mzuri aise.
Mdogo wangu poleBro Mjep tunadhalilika huku wadogo zako!!
Utajiri nautoa wapi mimi chiefBakharesa wa JF mutu ya dolali Tajiri anayemiliki bendi town umeshafika airport hapo boss Mjep
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Salama kabisa chief.Chief salama?
Karibu uselfike mkuu
Heee heee heee 😲🙆,,, usinitafutie kupigwa mie we mkaka. Kumbe hataaaa kumfananisha siwezi...😃😃..urfk nae cna. CAPTORHINOMORPHS naomba unisaidie,,, usiende kusema Kwa mama 😁😁
Good morning Joan SGood morning wanaselfika!!
Sijambo namshukuru Mungu vipi wewe ?Marahaba mjukuu wangu.
Hujambo?
Uwe na siku njema; na Asante kwa salamu hii ya heshima![]()